nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Sioni pengo la mkude, hata akiondoka leo,
Kwanza zile back pass zake hua zinatulostisha kila siku.
Kwanza zile back pass zake hua zinatulostisha kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingependeza zaidi kama ungetufafanulia na kosq alilolifanya kuliko kuja hapa na kutupa maswali kibao...hatujui mkude kafanya nini
"Sir Alex Ferguson kwenye Kanuni zake 9 kuhusu Nidhamu naomba nimnukuu kanuni namba 4, "Never ever, cede control" usikubali kupoteza Mamlaka yako mbele ya wachezaji"
"Kupitia hii Roy Keane alipokosoa wenzake mbele ya Media basi Fergie alivunja mkataba wake, Van Nisterloy na kipaji chake alipokosoa mamlaka akauzwa Real Madrid, hii ina maana hakuna mkubwa kuliko timu"
"Kinachotokea kwa Mkude ni kuishi kimazoea, yakajenga tabia, tabia ni kovu halifutiki kwa sabuni, Simba haipo kule alipozoea, wameset standards, asipobadilika atapata wakati mgumu sana, abadilike"
"Bila mkazo kwenye nidhamu, ipo siku Wachezaji watakupangia muda wa mazoezi, watakupangia aina ya mazoezi na watakupangia kikosi, lazima Sheria zifuatwe, hakuna mkubwa kuliko Taasisi"
Maneno ya Farhan Kihamu @jr_farhanjr kwenye SPORTS ROUND UP ya @cloudsfmtz
Na wewe nenda ukavimbishweGSM ndiyo wanamvimbisha kichwa Mkude. Aende tu huko Yanga.
Tumpe heshima yake Mkude ndugu.Sioni pengo la mkude, hata akiondoka leo,
Kwanza zile back pass zake hua zinatulostisha kila siku.
Hayo ya tumpe heshima ndio yanampa kiburi, kwani miaka aliyokuwa anacheza ni bure?Tumpe heshima yake Mkude ndugu.
Ana makombe mengi kwenye kabati lake kuliko mchezaji yeyote anayecheza ligi kuu ukimuondoa Kaseja.
Ndiyo mchezaji aliyeitumikia Simba miaka mingi zaidi kuliko mchezaji mwingine yoyote tangu karne ya 21 imeanza.
Kama ataondoka aende kwa heshima zake zote siyo masimango.