Kinachotokea kwa Mkude ni kuishi kimazoea

Sioni pengo la mkude, hata akiondoka leo,

Kwanza zile back pass zake hua zinatulostisha kila siku.
 
Ingependeza zaidi kama ungetufafanulia na kosq alilolifanya kuliko kuja hapa na kutupa maswali kibao...hatujui mkude kafanya nini
 
Yaani kutaka kula goma la Mudi ndiyo adhalilishwe hivi.
 
Sioni pengo la mkude, hata akiondoka leo,

Kwanza zile back pass zake hua zinatulostisha kila siku.
Tumpe heshima yake Mkude ndugu.

Ana makombe mengi kwenye kabati lake kuliko mchezaji yeyote anayecheza ligi kuu ukimuondoa Kaseja.

Ndiyo mchezaji aliyeitumikia Simba miaka mingi zaidi kuliko mchezaji mwingine yoyote tangu karne ya 21 imeanza.

Kama ataondoka aende kwa heshima zake zote siyo masimango.
 
Hayo ya tumpe heshima ndio yanampa kiburi, kwani miaka aliyokuwa anacheza ni bure?
Kacheza kwa mafanikio simba na simba imempa mafanikio ya kimaisha ( ilikuwa ni mutual relation).
Asa naona anataka au watu wanataka tu assume kuwa ile ilikuwa ni ruzuku na sio ajira.
Hata kama angekuwa alikuwepo team inavyoanzishwa, bado yeye ni mtumishi wa simba anatakiwa afuate taratibu zilizopo,
Ana mchango mkubwa sana kwenye mafanikio ya simba ila haijawahi kutokea kuwa kaibeba simba mgongoni mwake ( kiasi cha kuweza kusema ubingwa wa mwaka fulani bila mkude tusingepata).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…