kinachotokea kwa simba ndio kilichotokea kwa Liverpool,simba itasonga mbele.

kinachotokea kwa simba ndio kilichotokea kwa Liverpool,simba itasonga mbele.

Mkuu,nilichokiona haikuwa Siku ya bahati,huwa inatokea,ingawa pia bado hatujafikia level ya nafasi moja bao moja

Lakini hii haitufanyi kukata tamaa,Simba inaweza kupata Matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hatutakiwi kukata tamaa. Natamani lile bench la ufundi lililosaidia Simba kuitoa Zamalek mwaka 2003 ( James Siang'a RIP) lingekuwepo likatumika kuisaidia timu kwenye mechi ya marudiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom