ibb Member Joined Sep 24, 2018 Posts 24 Reaction score 64 Apr 8, 2019 #21 Acha kufananisha Liverpool na vitu vya kipumbavu Sent using Jamii Forums mobile app
U Uphill JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 525 Reaction score 565 Apr 8, 2019 #22 Mc Tilly Chizenga said: Mkuu,nilichokiona haikuwa Siku ya bahati,huwa inatokea,ingawa pia bado hatujafikia level ya nafasi moja bao moja Lakini hii haitufanyi kukata tamaa,Simba inaweza kupata Matokeo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni kweli hatutakiwi kukata tamaa. Natamani lile bench la ufundi lililosaidia Simba kuitoa Zamalek mwaka 2003 ( James Siang'a RIP) lingekuwepo likatumika kuisaidia timu kwenye mechi ya marudiano. Sent using Jamii Forums mobile app
Mc Tilly Chizenga said: Mkuu,nilichokiona haikuwa Siku ya bahati,huwa inatokea,ingawa pia bado hatujafikia level ya nafasi moja bao moja Lakini hii haitufanyi kukata tamaa,Simba inaweza kupata Matokeo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ni kweli hatutakiwi kukata tamaa. Natamani lile bench la ufundi lililosaidia Simba kuitoa Zamalek mwaka 2003 ( James Siang'a RIP) lingekuwepo likatumika kuisaidia timu kwenye mechi ya marudiano. Sent using Jamii Forums mobile app