lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
Shida inaanzia mbali, kiongozi anawekwa na kundi lake, kwa kutarajia kulambishana asali baada ya kushika hatamu.
Bado naamini akiwa na nia anaweza kuwaweka pembeni hao marafiki zake na kufanya yaliyo mema kwa taifa.
Tatizo lingine kwa hii nchi ni uoga na unafiki, watu wanaogopa kuambiana ukweli.
Tatizo lingine kwa hii nchi ni uoga na unafiki, watu wanaogopa kuambiana ukweli.