Kinachouangusha upinzani Tanzania ni nidhamu

Nakupinga
Uchaguzi wenyewe upo huru na haki? Tuanzie hapo

Kwa nini ccm hawaitaki Tume huru ya uchaguzi ikiwa wanatambua kwamba upinzani unajimaliza wenyewe
Si mje tujadili sisasa za Tanzania kwenye kamati?Si mmeona kamati mapendekazo yake?Kwani hamjui Watanzania ni zaidi ya milioni 55,na wanachama wa chadema ni chini ya milioni 4? hivi watu milioni 50 na zaidi wawasikilize mnachotaka?
 
Wewe Mzee mnafiq sana ina maana matusi ya kina Kibajaji, Msukuma,Serukamba aliyewaambia wapinza f**k **u ndani ya Bunge hujawahi kuyasikia? Wewe ni kada wa CCM hivyo maoni yako yana makengeza.
 
Endelea kufuatilia huu uzi kisha uone nani atatoa matusi,au fuatilia kwenye mitandao ya kijamii uone nani atatoa matusi.
Mzee tafadhali usikimbie maswali ni vzr ukajib hizo shutuma za matusi mkuu! Mbio zako hazijengi kbs mkuu!!!
 

Shughulikieni maji na umeme acheni ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…