Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Hata katiba ya sasa ni nzuri sana, changamoto ni namna maneno yaliyopo ni old fashioned na no body cares about it.
Sasa CCM wanajiuliza kama watakubali katiba mpya means ujumbe na maelekezo yake yatakuwa mapya na marahisi kukumbukwa. Kwa sasa wanakiuka misingi mingi ya katiba mpaka wanadiriki kusema katiba ni kijitabu tu kwa sababu watanzania wengi hawafatilii vitu vya zamani.