la Jeneral
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 392
- 57
- Thread starter
-
- #41
yaan wanapenda pombe au?sijakusoma mdauavatar yako inajielezea:wink2:
yaan wanapenda pombe au?sijakusoma mdau
Kidole Gumba cha mguu.
ashalalalalal nimekupata mdaumkono wa huyo mtoto ulipoelekea
wadau wa jf napenda kujuwa je ni kipi hasa kinachowapagawisha wanaume hasa wa kibongo wamwangaliapo mwanamke je ni makalio,matiti,shape,rangi ya mwili,kimo,tabia,nawasilisha