Kinachowapagawisha marijali kwa wanawake ni kipi hasa kati ya hivi?

Kinachowapagawisha marijali kwa wanawake ni kipi hasa kati ya hivi?

inaonekana makalio ndio mpango mzima ndio maana hata wadada siku hz karibu wote utakuta wamejaaaliwa wengine origino wengine mchina hali mradi kila mtu kupendeza,punguzen kidogo mtatuuwa jaman na ugonjwa wenyewe umekaa pabaya
 
Kila mtu na raha yake, makalio, pua, macho, sauti, chuchu, vidole, midomo, nk. nk. nk.
 
nahisi mwamko wa moyo..........ukiachana na rangi aisee vingine vyote ni factors kubwa mtoto awe standard flani hivi, matiti yawe enrgetic, wowo kwambali liwe kama likishirikiana na hips lenye kiuno kilichonoticiable.......miguu flani inayohamasisha......yani inshort s-body!
 
Back
Top Bottom