Kinachowapagawisha marijali kwa wanawake ni kipi hasa kati ya hivi?

la Jeneral

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
392
Reaction score
57
wadau wa jf napenda kujuwa je ni kipi hasa kinachowapagawisha wanaume hasa wa kibongo wamwangaliapo mwanamke je ni makalio,matiti,shape,rangi ya mwili,kimo,tabia,nawasilisha
 
Makalio,matiti,rangi na shape.over
 
PHAT GYAL + Rangi Soft isiyo chunusi natural color chotara mng'avung'avu maji ya kunde kaenda hewani sekunde.
 
Hayaaaaaaaaaaaa wanaume themeni yanao wavutia mthifiche tusikie...............
 
wadau wa jf napenda kujuwa je ni kipi hasa kinachowapagawisha wanaume hasa wa kibongo wamwangaliapo mwanamke je ni makalio,matiti,shape,rangi ya mwili,kimo,tabia,nawasilisha

kila mwanamme ana vivutio vyake tofauti tofauti tofauti lakini mimi umbo, sura,chuchu ndogo,tabia mbeleni ntamrekebisha
 
Wangu aliniambia ni makengeza...hasa time ya kufika kileleni
 
wadau wa jf napenda kujuwa je ni kipi hasa kinachowapagawisha wanaume hasa wa kibongo wamwangaliapo mwanamke je ni makalio,matiti,shape,rangi ya mwili,kimo,tabia,nawasilisha

vyote vyote tu hapo
 
Back
Top Bottom