Kinachowaponza New Force ni madereva wa IT

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Yawezekana unajuuliza kwa nini NEWFORCE ya kutokea Tunduma mara kwa mara inapata mzinga straight answer ni madereva wa IT.

Unapokuwa main road ya kuelekea Tunduma utakutana na IT kibao zinatoka kibati kuitafuta Border sasa jiulize zile akili zote zikutane kwenye Zhutong Moja kurudi DSM Kila mtu anachowaza ni speed tu tunafika saa ngapi.
 
Ma dereva wengi wa IT niwashenzi tu wanawaza wafike boda tu na hawajali chchte kuhusu usalama wa barabarani na ukizingatia magari yanakua mapya mapya bc full speed ila ukionanga wakipiga mizinga wanavokuq wapole wanabaki kusema ningejua tena hapo anashkuru kapona ila gari ya watu haitamaniki
 
Nilivyoelewa.

Kwenda Tunduma sio ishu. Tatizo ni wakati wa kurudi, madereva wa IT (sasa wamekua abiria wa NF), wanarudi Dar wanamshawishi dereva atoke kibati si ndio?
NEWFORCE imepunguza karibia Tsh 10000 compared na kampuni nyingine kwa basi lake linalotoka Tunduma jioni special kwa madereva wa IT
 
NEWFORCE imepunguza karibia Tsh 10000 compared na kampuni nyingine kwa basi lake linalotoka Tunduma jioni special kwa madereva wa IT
Sio kweli,nauli iko sawa tu na mabasi mengine,hilo basi anapanda yeyote hata asiye dereva wa IT.mwenyewe huwa nalipanda sana
 
Sio kweli,nauli iko sawa tu na mabasi mengine,hilo basi anapanda yeyote hata asiye dereva wa IT.mwenyewe huwa nalipanda sana
Yoyote anaruhusiwa kupanda ila nauli ni pungufu kulinganisha na mabasi mengine basi kama ulikuwa hujui ili ndio ujue kuwa unapigwa
 
Utawasingizia tu hao Madereva wa IT, mimi nishawahi kuwapakia tena wa5 toka Uyole to Dar hawana hata noma, na kama Dereva unashawishiwa na Abiria kuvunja sheria basi wewe sio Dereva ulieenda Chuo
 
Hao madereva wa IT wanawaathiri New force tu?????na si wengine
 
Yoyote anaruhusiwa kupanda ila nauli ni pungufu kulinganisha na mabasi mengine basi kama ulikuwa hujui ili ndio ujue kuwa unapigwa
Dar Tunduma mabasi yote huwa 60k au ukiomba huwa haishuki chini ya 55k.we huwa unalipa ngapi mwenzetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…