GE2025 Kinachowasukuma kuongelea maridhiano ni fedha za misaada na mkopo kutoka kwa wahisani

GE2025 Kinachowasukuma kuongelea maridhiano ni fedha za misaada na mkopo kutoka kwa wahisani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Hii ndio sababu kuu na hamna lingine kwani hata wafadhili wanajua Tanzania hakuna demokrasia na hakuna uchaguzi.

Sioni uwezekano wa CHADEMA kutambua serikali ijayo na hata kukaa nayo meza moja.

Muda utasema.
 
Back
Top Bottom