S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,828 Reaction score 165,667 Oct 29, 2025 #1 Hii ndio sababu kuu na hamna lingine kwani hata wafadhili wanajua Tanzania hakuna demokrasia na hakuna uchaguzi. Sioni uwezekano wa CHADEMA kutambua serikali ijayo na hata kukaa nayo meza moja. Muda utasema.
Hii ndio sababu kuu na hamna lingine kwani hata wafadhili wanajua Tanzania hakuna demokrasia na hakuna uchaguzi. Sioni uwezekano wa CHADEMA kutambua serikali ijayo na hata kukaa nayo meza moja. Muda utasema.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 29, 2025 #2 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 Oct 29, 2025 #3 Too late Nchi inaenda kuwa chini ya baraza la mpito la kijeshi