Kinachowatofautisha wanafunzi wa UDSM na watoto wa CHEKECHEA ni UNIFORM tu

Kinachowatofautisha wanafunzi wa UDSM na watoto wa CHEKECHEA ni UNIFORM tu

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Kinachowatofautisha wanafunzi wa UDSM na watoto wa CHEKECHEA ni sare tu wanazovaa watoto wa chekechea.
 
Udsm ilikua enzi zile za kina Methew Luhanga siyo hii ya leo ya kina ruwekaza mukandara sifoni.
 
Kinachowatofautisha wanafunzi wa UDSM na watoto wa CHEKECHEA ni sare tu wanazovaa watoto wa chekechea.

Yaani una maana ya kuwa siku hizi UDSM wanafanyia udahili watoto wadogo wanaolingana na wa chekechea!
Una maana kuwa wanafunzi wa udsm wana tabia za kichekechea!
Una maana kuwa uelewa wao mdogo kama watoto wa chekechea!

Sijaelewa kabisa lengo lako lilikuwa nini kuwalinganisha au kuwafananisha hawa vijana,watu wa makamo ya kati na wazee na hao watoto na wajukuu zao!
 
Inatakiwa Invisible unawapa hawa maboya aptitude quiz kupima akili zao ili kuwaondoa mediocres hapa jamvini. Nonsense.
 
Last edited by a moderator:
wikeend hiyoooo na konyagi.. na gambe jipya la kitaaa!!!!:majani7:
 
Sema unakitamani chuo, vigezo huna ndo sizitaki mbichi hizi.
Kagugo uambiwe chuo ni cha ngapi kwa ubora Afrika halafu uje uombe msamaha hapa....

Hivi vyuo vya kariakoo vinawatia jeuri sana.
 
kuna member huwa najiuliza wanaivuta bange ya wapi!?
 
Back
Top Bottom