The Real Blaster
Member
- Aug 6, 2012
- 18
- 2
daahhh...pole aiseee mana uwezo wako wa kufikiri umeishia apo koh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maana WANAFUNZI WA UDSM ni mabikra kama watoto wa CHEKECHEA.
Kinachowatofautisha
wanafunzi wa UDSM na watoto wa CHEKECHEA ni sare tu wanazovaa watoto wa
chekechea.
TEKU ni kituo cha elimu sio chuo na unajua hata chekechea ni kituo cha elimu pia
mlio kosa udsm hado mnayo nafasi ya kuboresha matokeo yenu ya kidato cha sita na kuaply upya. sasa kama wa udsm ni sawa na wachekechea nyinyi wa teku, kiu ,st john na vingine vingi vya kata mtakuwa sawa na nani? udsm is open to all mnakaribishwa.