Kinachowatofautisha wanafunzi wa UDSM na watoto wa CHEKECHEA ni UNIFORM tu

Kinachowatofautisha wanafunzi wa UDSM na watoto wa CHEKECHEA ni UNIFORM tu

We uliyepost iyo mada kimojawapo au vyote kati ya hivi vinakuhusu..
1) huna akili sawasawa, au
2) unataka umaarufu, au
3) uwezo wako wa kufikiri ni finyu sanaa
 
Hayo matusi sasa sema tu zamani vimbwete zamani pale vilitumika kujadili assignmets na mengine mambo ya shule sasa ni siasa tu na kutusumbua humu JF
 
mlio kosa udsm hado mnayo nafasi ya kuboresha matokeo yenu ya kidato cha sita na kuaply upya. sasa kama wa udsm ni sawa na wachekechea nyinyi wa teku, kiu ,st john na vingine vingi vya kata mtakuwa sawa na nani? udsm is open to all mnakaribishwa.
 
watu wa vyuo vya kata mna matatizo. safisha matokeo ya acsee bila shaka udsm mtapokelewa
 
Kinachowatofautisha
wanafunzi wa UDSM na watoto wa CHEKECHEA ni sare tu wanazovaa watoto wa
chekechea.

Nikiwa Advance miaka ya nyuma niliwaza sana kama sitasoma Udsm basi moyo wangu usingeridhika. Nafurahi nilisoma UDSM.... nadhani kama ningefeli na kukosa nafasi Udsm huenda ningekuwa poyoyo kama wewe
 
TEKU ni kituo cha elimu sio chuo na unajua hata chekechea ni kituo cha elimu pia

Hizi dharau hazina maana yoyote, kwani chuo maana yake ni na nani anatambua chuo ni kipi na kipi sio chuo?
 
mlio kosa udsm hado mnayo nafasi ya kuboresha matokeo yenu ya kidato cha sita na kuaply upya. sasa kama wa udsm ni sawa na wachekechea nyinyi wa teku, kiu ,st john na vingine vingi vya kata mtakuwa sawa na nani? udsm is open to all mnakaribishwa.

hapo ndugu umeongea pumba. udsm wapo waliopata kiwango sawa na vyuo vngne na hata wengne wanazdiwa na pengne kungekuwa na mitihan ya pamoja mngeumbuka! acha kuropoka
 
Mpaka raha mnavyojifichua wenyewe akili zenu hata kabla mtoa uzi hajatoa sababu zake... Kama mrejesho wenu ndo huu... Huenda mtoa uzi yupo sahihi.
 
Mpaka raha mnavyojifichua wenyewe akili zenu hata kabla mtoa uzi hajatoa sababu zake... Kama mrejesho wenu ndo huu... Huenda mtoa uzi yupo sahihi.

mkuu hao ndo wasomi tulio nao! They dont judge!
 
Back
Top Bottom