Kinachowatofautisha wanafunzi wa UDSM na watoto wa CHEKECHEA ni UNIFORM tu

Yan bachelor degree yangu ya miaka mitatu pale unanilinganisha na mtoto wa chekechea.dah nooma sana
 
Mtoa uzi sio chizi, nadhani anakitu amekiona mpaka akifikia hitimisho la kufanya huu ulinganifu. Mie namuomba atiririke zaidi. Tusimwekee ma neno mdomoni. Kama ana maana ya kutukana basi amekasirishwa sana na utafiti wake wa muda mrefu maana huwezi toa tusi hili kwa kukutana na wanafunzi wa UDSM 50. Kama anawaonea huruma kuwa hawapewi sitahiki zao kiasi cha kuzidiwa na watoto wa chekechea wanaopewa japo uniform.
 
Yangu macho tu!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hahahhhaaaahahhha yani imebidi nicheke tu....
 
Ina maana UDSM wanasoma a e i o u!! Au unamaanisha nn unless ur kidding mtoa mada
 
Mleta mada hafai kuwa hata Jamii Forum, nenda kanawe hizo tongotongo ndo urudi kutuomba radhi.Mie nimhtim wa UDSM na najivuna kupata shahada yangu hapo
 
Nyie mliopo vyuoni sasa na mliosoma education nisaidie kuelewa. Kuna uwezekano wa mtu kusoma BED bila somo 1 la kufundishia? Nimeskia hiyo iko kwa first ya wa St Joseph. Hlp plz nielewe imekaaje hyo
 
ayaaaa bhaaanaaaa,,,penginee labdaa alikuwaaa anaotaaaaaaa,,,mtoaaa madaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…