Pre GE2025 Kinachowauma CCM ni hatari ya kuwakosa CHADEMA kwenye boksi la kura; CCM watafanya kila mbinu jina CHADEMA liwepo kwenye uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani ndio chama pekee Cha upinzani


Wajitoe tu
 
Wanajua cdm wasiposhiriki, uchaguzi utakuwa na wapiga kura wachache sana. Hivyo wanahofia itonekana kuwa ndio kura zao zinavyokuwaga chache lakini wanaishia kuchezea matokeo halali.
 
Kumbe hujaelewa maana ya no Reform s no Election.

Ni hivi, bila reforms kwenye Katiba kupata Tume huru ya Uchaguzi, uchaguzi utayeyuka, hatokuwepo.
 
Wanajua cdm wasiposhiriki, uchaguzi utakuwa na wapiga kura wachache sana. Hivyo wanahofia itonekana kuwa ndio kura zao zinavyokuwaga chache lakini wanaishia kuchezea matokeo halali.
CDM hawajasema hawatoshiriki uchaguzi, watashinikiza wananchi kuzuia uchaguzi fake, haramu na batili kufanyika.
 
Afya ya akili
 
Mkuu usijifanye wewe ndio great thinker zaidi ya wanadamu wote

Tukuulize,kama mwaka 1995 ni mbali na hutaki mifano yake,hivi unadhani mfano wa mwaka upi ndio sahihi na weka sababu hapa?

HUNA

Watanzania ni wale wale na siasa ni zile zile,na mifano ni ile ile,usijifanye eti TZ imebadilika kama ardhi na mbingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…