Pre GE2025 Kinachowauma CCM ni hatari ya kuwakosa CHADEMA kwenye boksi la kura; CCM watafanya kila mbinu jina CHADEMA liwepo kwenye uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Baada ya madudu mengi kutokea ndani ya mifumo ya kiutawala kwa miaka 5 iliyopita ambapo CCM ilitawala yenyewe, pamoja na misuguano ya ndani ya chama, imepelekea CCM kuona umuhimu fulani walau wa kuwa na uwakilishi mdogo wa wapinzani wenye nguvu ili kufunika kombe na kuendelea kuwahadaa wananchi na jumuiya ya kimataifa.

Kwa maana hiyo, CCM wanaichukulia CHADEMA kama mtaji muhimu wa kisiasa ili waondokane na ile aibu ya kutawala peke yao kupitia uharamia wa chaguzi. Na hapa wanawahitaji CHADEMA tuu, kwa sababu hivo vyama vingine havina ushawishi kwa watanzania (walau visiwani wanajua ACT hawana shida, washakubali michezo yao)

Hivyo, hoja ya 'No reforms, no election' inawaumiza na kuwatesa sana CCM kwasababu wanaona kabisa kuna hatari ya kuwakosa CHADEMA kwenye ballot kitu ambacho wanahisi kitakuwa kimewaharibia sana mipango yao.

Nilivyoona clip ya CPA Makalla akitaka kabisa kulia machozi kuwaomba CHADEMA washiriki uchaguzi, nikathibitisha kwamba, hii no reforms, no election ni mechi ambayo Tundu Lissu amekabia juu kabisa na amewashika vilivyo CCM kwenye koo.

Chopa zikianza kuruka huku na huko kuipigania agenda ya 'no reforms, no election', nina wasiwasi Mh. CPA Makalla na Babu Wasira watamfuata Lissu kwa magoti, wakiwa wamechoka kabisa na kukaukiwa makoo.

Hofu yangu kubwa ni CCM kufanya hata uhuni wa kufanikisha wanachadema feki kuomba kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa ticket ya CHADEMA. (Kama iliwezekana kwa wabunge 19, hata hapa inaweza kuwezekana) Hapa muwe macho CHADEMA.
Kwani ndio chama pekee Cha upinzani

Wajitoe tu
 
Wanajua cdm wasiposhiriki, uchaguzi utakuwa na wapiga kura wachache sana. Hivyo wanahofia itonekana kuwa ndio kura zao zinavyokuwaga chache lakini wanaishia kuchezea matokeo halali.
 
Kumbe hujaelewa maana ya no Reform s no Election.

Ni hivi, bila reforms kwenye Katiba kupata Tume huru ya Uchaguzi, uchaguzi utayeyuka, hatokuwepo.
 
Wanajua cdm wasiposhiriki, uchaguzi utakuwa na wapiga kura wachache sana. Hivyo wanahofia itonekana kuwa ndio kura zao zinavyokuwaga chache lakini wanaishia kuchezea matokeo halali.
CDM hawajasema hawatoshiriki uchaguzi, watashinikiza wananchi kuzuia uchaguzi fake, haramu na batili kufanyika.
 
Baada ya madudu mengi kutokea ndani ya mifumo ya kiutawala kwa miaka 5 iliyopita ambapo CCM ilitawala yenyewe, pamoja na misuguano ya ndani ya chama, imepelekea CCM kuona umuhimu fulani walau wa kuwa na uwakilishi mdogo wa wapinzani wenye nguvu ili kufunika kombe na kuendelea kuwahadaa wananchi na jumuiya ya kimataifa.

Kwa maana hiyo, CCM wanaichukulia CHADEMA kama mtaji muhimu wa kisiasa ili waondokane na ile aibu ya kutawala peke yao kupitia uharamia wa chaguzi. Na hapa wanawahitaji CHADEMA tuu, kwa sababu hivo vyama vingine havina ushawishi kwa watanzania (walau visiwani wanajua ACT hawana shida, washakubali michezo yao)

Hivyo, hoja ya 'No reforms, no election' inawaumiza na kuwatesa sana CCM kwasababu wanaona kabisa kuna hatari ya kuwakosa CHADEMA kwenye ballot kitu ambacho wanahisi kitakuwa kimewaharibia sana mipango yao.

Nilivyoona clip ya CPA Makalla akitaka kabisa kulia machozi kuwaomba CHADEMA washiriki uchaguzi, nikathibitisha kwamba, hii no reforms, no election ni mechi ambayo Tundu Lissu amekabia juu kabisa na amewashika vilivyo CCM kwenye koo.

Chopa zikianza kuruka huku na huko kuipigania agenda ya 'no reforms, no election', nina wasiwasi Mh. CPA Makalla na Babu Wasira watamfuata Lissu kwa magoti, wakiwa wamechoka kabisa na kukaukiwa makoo.

Hofu yangu kubwa ni CCM kufanya hata uhuni wa kufanikisha wanachadema feki kuomba kuchukua fomu za kugombea ubunge kwa ticket ya CHADEMA. (Kama iliwezekana kwa wabunge 19, hata hapa inaweza kuwezekana) Hapa muwe macho CHADEMA.
Afya ya akili
 
Kuna watu wazima mmebakisha akili ya kuvukia barabara na sio kujadili na kuchambua siasa kwa hoja zenye misuli mizito na damu ya kutosha.

Hivi kweli mtu unatoa mifano ya kitisho cha kufa kwa CHADEMA mwaka 2025 kwa kutumia case study ya NCCR Mageuzi mwaka 1995 (baada ya miaka 30) halafu unajiita great thinker. Unashindwa kuelewa kuwa dynamics za kisiasa, demografia, technolojia zimebadilika na hizo zina athari za moja kwa moja kwenye siasa.

Kwanza hujasema ni kwanini NCCR ilikufa, sababu haikua ni kususia uchaguzi. Maana yake ni kwamba, unavyosema CHADEMA itakufa kama NCCR kwa kutoshiriki uchaguzi wa 2025, maana yake hata hiyo historia ya kufa kwa NCCR huijui vizuri.

Kaisome vema historia na uyajue vema mambo ya sasa ndo tuje kujadiliana kama unajimudu na kujiamini utakuwa na hoja zenye damu ya kutosha.
Mkuu usijifanye wewe ndio great thinker zaidi ya wanadamu wote

Tukuulize,kama mwaka 1995 ni mbali na hutaki mifano yake,hivi unadhani mfano wa mwaka upi ndio sahihi na weka sababu hapa?

HUNA

Watanzania ni wale wale na siasa ni zile zile,na mifano ni ile ile,usijifanye eti TZ imebadilika kama ardhi na mbingu
 
Back
Top Bottom