Kinajimu tarehe ya fainali 25-05-2025 imekaa vizuri sana kwa Simba

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Hili limenishtua sana. Tarehe ya fainali ya pili ya Simba vs RS Berkane ambayo timu inakabidhiwa kombe ni tarehe 25-05-2025.

Mimi siyo mnajimu ila hizi namba kama zinakujakuja hivi. Embu ngoja nizichimbe zaidi nione zina nini ndani yake. Kwa kuanzia, code ya Tanzania ni 255.

Utabiri wangu wa awali, mechi ya pili itaisha kwa ushindi wa Simba wa 3-1. Haya yanaweza pia kuwa matokeo ya jumla ya mechi zote mbili.
 
Nendeni kwa mwamposa awaangue tena.
Kombe la kimataifa litaingizwa nchi hii na yanga Tu....ikiwezekana hata kombe la dunia
 
Nendeni kwa mwamposa awaangue tena.
Kombe la kimataifa litaingizwa nchi hii na yanga Tu....ikiwezekana hata kombe la dunia
Mwamposa tunaye na tunatamba naye.

Simba imeingiza makombe 3 mpaka sasa ya kimataifa nchini:
1. Fainali ya CAF Cup - 1993
2. Ufunguzi wa AFL - 2023
3. Fainali ya CAFCC - 2025 (Inshallah na ubingwa!)
4. CAF Super Cup - 2025 (Inshallah!)
 
Tarehe ya kuzaliwa mwanangu ambae ni shabiki kindakindaki wa Azam, Simba lazima wateme bungo!
 
Tarehe hiyo, itasaidia nini, wakati majibu yote yatapatikana tarehe 17/5/2025!!?
 
Yeah, imekaa vizuri lakini bahati mbaya mtakuwa mmechezea 5 kule uarabuni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…