CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
CPU usicheze na wanawake, soft kwa nje lakini wana roho ngumu ni hatari!
Kaka sio wanawake tu, hata wanaume pia. Yaani wote ni sawasawa tu.
Nafahamu kwamba wanawake wengi sio wajasiri wa ku-keep secrets hasa ktk situation ambazo watatishiwa kuuawa.
Lakin mimi nina mifano hai kabisa ya dada mtu anamuendea kwa mganga mdogo wake wa kike asiolewe
Lakin akaolewa, akaamua amwendee tena ili asizae, lakin akazaa kabinti kazuri balaa
Sasa hivi anatafuta mbinu za kuua watoto wa mdogo wake
So sio ishu ya mwanamke kwa mwanaume tu, inaweza ikawa mwanamke kwa mwanamke pia, au mwanaume kwa mwanaume pia
Ila ungeniambia mifarakano baina ya akina dada wenyewe kwa wenyewe, tena hata kwa vitu vidogo sana tu vinakuja kuleta matatizo makubwa mno naweza kukuelewa. Wanaume wao wanajitahidi sana kurekebishana na kuwekana sawa ktk mizozo baina yao.
Wanawake wao mara nyingi mizozo yako inawashinda kupatanisha, wanajengeana visasi na uhasama