Kinamama/dada msikanyage hapa!

Kinamama/dada msikanyage hapa!

CPU usicheze na wanawake, soft kwa nje lakini wana roho ngumu ni hatari!

Kaka sio wanawake tu, hata wanaume pia. Yaani wote ni sawasawa tu.
Nafahamu kwamba wanawake wengi sio wajasiri wa ku-keep secrets hasa ktk situation ambazo watatishiwa kuuawa.
Lakin mimi nina mifano hai kabisa ya dada mtu anamuendea kwa mganga mdogo wake wa kike asiolewe
Lakin akaolewa, akaamua amwendee tena ili asizae, lakin akazaa kabinti kazuri balaa
Sasa hivi anatafuta mbinu za kuua watoto wa mdogo wake

So sio ishu ya mwanamke kwa mwanaume tu, inaweza ikawa mwanamke kwa mwanamke pia, au mwanaume kwa mwanaume pia

Ila ungeniambia mifarakano baina ya akina dada wenyewe kwa wenyewe, tena hata kwa vitu vidogo sana tu vinakuja kuleta matatizo makubwa mno naweza kukuelewa. Wanaume wao wanajitahidi sana kurekebishana na kuwekana sawa ktk mizozo baina yao.
Wanawake wao mara nyingi mizozo yako inawashinda kupatanisha, wanajengeana visasi na uhasama
 
Siri za wizi na ufisadi zipendi hata kidogo kwanini husiache mambo ya kuishi gizani!
 
Naheshimu tittle ya thread.
Ngoja ninyamaze.
 
Mi naambiwa na wakati mwingine dili nyingine naingia front mwenyewe na siongei siri za mume za biashara zake kwa watu hata aniudhi vipi, hapo ni kuhatarisha si maisha yake tu, maisha yangu na ya watoto wangu. nafikiri kuna baadhi wanaweza fanya hivyo ila sio wote.sasa kama hata mkeo unaogopa kushea nae top secret utaweza shea na nani tena? as all we know that hakuna mtu anaweza kuweka siri moyoni mwake lazima tu atafute mtu wa kumwambia ndio atapata relief
 
Urafiki upo kwa ajili ya kuaminiana
Siri ipo kwa ajili ya ku"share"
Vyenginevyo hakuna sheria, urafiki wala siri.
Ikiwa huamini mtu yeyote iko siku utakimbia hata kivuli chako.

eehhee kumbeeeeeeeeeee
 
Hivi jamani, usipomwamini mke wako, utamwamini nani tena??!!
Kwa mawazo yangu kutokuaminiana kwingi kunatokana na vitendo ambavyo si vizuri (ufisadi na mambo yanayofanana na hayo), na ndo inapelekea kufichana haya mambo! Jamani tuwe na wakweli na nafsi yetu.....!!!

sorry nilikosea njia............
 
Babu yangu aliwahi kuniambie enzi hizoo kuwa wamama ni watu wenye huruma sana na wavumilivu sana, ila wakibadilika kuwa wabaya huwa hawarudi nyuma.
 
Nawachukia watu wanapotoa siri za mwenzio mkigombana :mullet::mullet:
 
Tayari kina dada umeanza kuchungulia siri zetu huku.......tuko chemba tunapewa ushairi kwa nini mnachungulia?

Ok, asante kwa ushauri maana sh. ina pande 2.
 
Napenda nichukue fursa hii kuwaomba kina baba ambao tumekula chumvi ya kutosha (Kyabushaija et al) mara kwa mara tuwe tunawapa hint vijana wa kiume wadau wa MMU ili mbele ya safari yasijewakuta yaliyotukuta sisi.
Kwa leo naanza mimi:
Ndugu vijana,ukijaliwa kuwa kwenye mahusiano yawe ya ndoa / urafiki wa karibu/uhawara,basi kipindi upo katika lindi la mapenzi jihadhari sana kutoa siri zako za ndani sana kwa mwenza wako.Mathalani ukiwa mfanyabiashara jihadhari kumweleza mwenza wako jinsi unavyopambana na competititors,TRA na regulators wengine. Kama umeajiriwa jihadhari kuwasema vibaya maboss wako mbele ya mama chanja wako na kama kuna mishemishe unafanya kazini ili kujiongezea kipato ndo kabisaaaaaa usithubutu kumjuza mwenza,ye mwache aone zinaingia tu. Naongelea hili kutokana na uzoefu na si wa kwangu tu lakini wa wanaume wengi. Ilivyo ni kwamba mkiwa kwenye malavidavi mke/girlfriend/hawara atakutunzia siri mpaka ya ndani sana lakini ole wako siku ukimkosea/mkidiffer chances are atamwaga razi kwa wahusika na usipoangalia utashtukia Hosea/Kova/maodita wanakupigia hodi.Ni ushauri tu na wakati unautafakari mkumbuke Shakespeare aliyesema na ninakuu 'hell knows no fury like a woman scorned'!
Weekend njema.

Hamna siri ya watu wawili.......i.e...ukiwa unafanya chochote ambacho hutaki watu wajue basi usimwambie mtu yeyote!!
 
ni vyema zaidi kutambua namna nyinyi wawili mlivyo na mambo gani yanayopaswa ku-share, thread yako mimi naipa 50|50 maana nina best wangu mkewe amemwendea kwa mganga eti kisa amemwacha ili hali mwanamke hakamatiki kwa uhuni hadi wanae hawampendi mama yao
 
Back
Top Bottom