Kinamama msaada tutani tafadhali......

Kinamama msaada tutani tafadhali......

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Kijana wangu wa karibu kaniomba ushauri.Yeye anaishi Dar na kapata mpenzi anayeishi na kufanya kazi Mtwara. Anasema anampenda sana na Inshallah wakijaliwa angependa amuoe.Tatizo nii hii distance relationship,anasema inaelekea kuna mtu kamtonya mdada kuwa jamaa ni kiwembe,hivyo masaa 24 binti roho juu juu,akiandika sms zikipita dakika tano haijajibiwa roho hiyo inakuwa juu juu,usiku jamaa asipompa g nite mapema ndo kabisa dada haamini kama hali ni shwari,mradi tu full mastress binti wa watu.Nauli ya kwenda Mtwara kila weekend jamaa uwezo hana,barabara ya Mtwara ndo hivo kipande cha Ikwiriri_ Somanga kibovu kweli kweli.Kinamama you are the ones who knows a woman's heart,naomba mnipe tip kijana nimshauri nini,afanye nini kumtuliza la'aziz wake ili roho iache kumwenda mbio? Kijana amenihakikishia kuwa ame reform mambo ya ukware hataki tena. Natanguliza shukran.
 
Kumbe kijana alikuwa mkwareeee!
Wakatambulishane anaweza akamjengea imani hata kidogo.
 
Aisee hiyo ni kweli kabisa huwa inatokea as long as msichana anampenda jamaa kwa sana.

Lakini hapo sijaona tatizo hata kidogo ni timing tu ya kijana kumakesure kwamba aliyosema
ni kwelli kaacha ukwale kabisa na kuconcetrate kwa mdada muda wote hatashindwa
kutekeleza hayo yote na kutimiza matakwa ya bibie kama muda wa kumwambia usiku mwema
atekeleze kwa wakati na msg za kufa mtu missing you, i love you, when are you coming etc (za wizi tu hizi)
Huwa hakuna ukweli (mawazo yangu) ha ha ha

Umbali unatesa nyie acheni roho pee kila wakati unawaza sijui yuko na mwajuma saa hizi mbona hajibu simu
akisema sina voucher ushatuma 10,000 lakini hupigiwi ha unaweza kufa na BP

Mwambie huyo msichana ajiunge JF awe nunda asiwe na Presure za kijinga
 
Kumbe ni special kwa akina mama....napita tu jamani naelekea Mpwapwa
 
<br />
<br />
mwambie amvalishe pete ya uchumba. Si unajua wanawake wengi wakishavalishwa vipete wanajipa matumaini ya kuolewa.
i will, maana jamaa yuko sirias kabisa anataka amuoe.
 
Aisee hiyo ni kweli kabisa huwa inatokea as long as msichana anampenda jamaa kwa sana.

Lakini hapo sijaona tatizo hata kidogo ni timing tu ya kijana kumakesure kwamba aliyosema
ni kwelli kaacha ukwale kabisa na kuconcetrate kwa mdada muda wote hatashindwa
kutekeleza hayo yote na kutimiza matakwa ya bibie kama muda wa kumwambia usiku mwema
atekeleze kwa wakati na msg za kufa mtu missing you, i love you, when are you coming etc (za wizi tu hizi)
Huwa hakuna ukweli (mawazo yangu) ha ha ha

Umbali unatesa nyie acheni roho pee kila wakati unawaza sijui yuko na mwajuma saa hizi mbona hajibu simu
akisema sina voucher ushatuma 10,000 lakini hupigiwi ha unaweza kufa na BP

Mwambie huyo msichana ajiunge JF awe nunda asiwe na Presure za kijinga
Unajuaje kama hayuko humu lol!!!!
 
za siku shemeji? long time sijakutia machoni! sawa nitamshtua kuhusu JF ,i hope atakuwa na access ya internet.
 
kama una uhakika kuwa unapendwa, basi huna budi ya kumwamini mpenzi wako, maana hata kama uko naye nyumbani, kama sio mwaminifu ata-cheat! So, uaminifu ni muhimu!
 
Back
Top Bottom