Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
Akina Pambalu Makoti Kama Vasco Dagama,CCM Ndio Chama madhubutu kwa baba na watotoMimi ni CDM ila CCM nawakubali sana hasa Mama ,
Wakati wenzetu wanakutana Na Mabalozi hapahapa Sisi tunakimbilia nje tena watu tunaongea nao ni Wahuni tu wa mtaani, CDM tujifunze kwa CCM hakuna baya
Karibu CCM mkuuMimi ni CDM ila CCM nawakubali sana hasa Mama ,
Wakati wenzetu wanakutana Na Mabalozi hapahapa Sisi tunakimbilia nje tena watu tunaongea nao ni Wahuni tu wa mtaani, CDM tujifunze kwa CCM hakuna baya
Kama ntapokelewa na Mama SawaKaribu CCM mkuu
Njoo inboxKama ntapokelewa na Mama Sawa
Mimi ni CDM ila CCM nawakubali sana hasa Mama ,
Wakati wenzetu wanakutana Na Mabalozi hapahapa Sisi tunakimbilia nje tena watu tunaongea nao ni Wahuni tu wa mtaani, CDM tujifunze kwa CCM hakuna baya
Li mbuzi tu.Mimi ni CDM ila CCM nawakubali sana hasa Mama ,
Wakati wenzetu wanakutana Na Mabalozi hapahapa Sisi tunakimbilia nje tena watu tunaongea nao ni Wahuni tu wa mtaani, CDM tujifunze kwa CCM hakuna baya
hauwezi kuwa CDM weweMimi ni CDM ila CCM nawakubali sana hasa Mama ,
Wakati wenzetu wanakutana Na Mabalozi hapahapa Sisi tunakimbilia nje tena watu tunaongea nao ni Wahuni tu wa mtaani, CDM tujifunze kwa CCM hakuna baya
Unamkataa wanachama wenzenu?Acha uongo nimepita post zako zote za nyuma,
Wewe ni mwanachama wa chama cha mambuzi
Unamkataa wanachama wenzenu?
Sasa Siamesema yeye mahaba yake yako kwa CCM na SamiaHuyo jamaa ukisoma post zake unagundua ni m mbuzi
Jambazi suguView attachment 2485263
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023.
View attachment 2485269
Huelewi nini hapo?Kumbe ni Marafiki wa CCM na Sio Watanzania?
Hizi Diplomasia bwasheee
Tuone kama watakuja kuwapigia kura CCM 2025. Marafiki zao!!
Nimeandika wapi Sielewi?Huelewi nini hapo?