Kinana aendelea kukutana na mabalozi wa nchi mbalimbali rafiki wa CCM, akutana pia na Balozi wa Algeria kwa mazungumzo Ofisi ndogo ya CCM Lumumba

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
2,823
Reaction score
2,466
IMG-20230117-WA0154.jpg

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Balozi wa Algeria nchini Tanzania Ahmed Djellal alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 17, 2023.
IMG-20230117-WA0155.jpg
 
Mimi ni CDM ila CCM nawakubali sana hasa Mama ,
Wakati wenzetu wanakutana Na Mabalozi hapahapa Sisi tunakimbilia nje tena watu tunaongea nao ni Wahuni tu wa mtaani, CDM tujifunze kwa CCM hakuna baya
 
Akina Pambalu Makoti Kama Vasco Dagama,CCM Ndio Chama madhubutu kwa baba na watoto
 
Mimi ni CDM ila CCM nawakubali sana hasa Mama ,
Wakati wenzetu wanakutana Na Mabalozi hapahapa Sisi tunakimbilia nje tena watu tunaongea nao ni Wahuni tu wa mtaani, CDM tujifunze kwa CCM hakuna baya
Karibu CCM mkuu
 
Acha uongo nimepita post zako zote za nyuma,
Wewe ni mwanachama wa chama cha mambuzi
 
Mimi ni CDM ila CCM nawakubali sana hasa Mama ,
Wakati wenzetu wanakutana Na Mabalozi hapahapa Sisi tunakimbilia nje tena watu tunaongea nao ni Wahuni tu wa mtaani, CDM tujifunze kwa CCM hakuna baya
Li mbuzi tu.
 
hauwezi kuwa CDM wewe
 
Kumbe ni Marafiki wa CCM na Sio Watanzania?

Hizi Diplomasia bwasheee

Tuone kama watakuja kuwapigia kura CCM 2025. Marafiki zao!!
 
Back
Top Bottom