Kinana afafanua mkwamo wa maridhiano, kauli ya CHADEMA kwamba CCM haijitambui yatajwa kuwa sababu mojawapo

Kinana afafanua mkwamo wa maridhiano, kauli ya CHADEMA kwamba CCM haijitambui yatajwa kuwa sababu mojawapo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hebu Jisomeeni wenyewe muone ilivyokuwa kama anavyosimulia Mzee Kinana

Screenshot_2024-02-04-16-39-02-1.png
 
Uchaguzi serikali za mitaa uchaguzi mkuu 2025 wala hawana cha kupoteza kama mnashangilia hizi kauli na wataendelea kuongoza dola!
 
Ati "Mazungumzo" wakati Familia yako inaishi Ukimbizini Ulaya kama Wakimbizi wa Kisomali.

KATIBA MPYA TUME HURU YA UCHAGUZI uone kama tutalalamika.

Meno ya Tembo yalikamatwa VIETNAM au unafikiri hatujui?
 
Back
Top Bottom