LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Wala hawaja kosea. Hivi miaka 63 madarakani, bado wana pita kuulizia kero? Wame fanya nini sasa? Hata sisi Watanzania hatuji tambui. Hatukustahili kuendea kuwapa Ccm kura. Sisi ni wajinga kuliko hao CcmNimemsikiliza Komredi Kinana lakini hii sentence ya Chadema imemikarahisha mno
Yaani hawa Ufipa Ndio wa kuwaambia CCM Hawajitambui?!!
Ngoja niishie hapo dadeki [emoji209]