Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
😆😆😆 , Nadhani umri nao ni tatizoHuyu mzee wa kisomali hana jipya. Uongo wa namna hii ni wa kijinga sana na anatapatapa tu ila siku zake za kujificha kwenye kivuli cha ''ukada'' simefika mwisho.
Vizee vinafiki kama hiki huku kwetu Usukumani tunapiga shoka kichwani tu
ccm kuna mtu? si manyangau tuNimemsikiliza Komredi Kinana lakini hii sentence ya Chadema imemikarahisha mno
Yaani hawa Ufipa Ndio wa kuwaambia CCM Hawajitambui?!!
Ngoja niishie hapo dadeki 🐼
🐼Kwi Kwi Kwi
Bwashee tuheshimiane 😙ccm kuna mtu? si manyangau tu