Wala hawaja kosea. Hivi miaka 63 madarakani, bado wana pita kuulizia kero? Wame fanya nini sasa? Hata sisi Watanzania hatuji tambui. Hatukustahili kuendea kuwapa Ccm kura. Sisi ni wajinga kuliko hao CcmNimemsikiliza Komredi Kinana lakini hii sentence ya Chadema imemikarahisha mno
Yaani hawa Ufipa Ndio wa kuwaambia CCM Hawajitambui?!!
Ngoja niishie hapo dadeki [emoji209]
Wanasahau wanasemaga Wana mtandao mpana Hadi kwenye mashina. Utumike kutambua na kutatua keroWala hawaja kosea. Hivi miaka 63 madarakani, bado wana pita kuulizia kero? Wame fanya nini sasa? Hata sisi Watanzania hatuji tambui. Hatukustahili kuendea kuwapa Ccm kura. Sisi ni wajinga kuliko hao Ccm
Wewe unaona katika hao viongozi wako kuna anayejitambua? Wao wanachowaza jinsi watakavyoiba kura ili waendelee kutawala. Washenzi sanaNimemsikiliza Komredi Kinana lakini hii sentence ya Chadema imemikarahisha mno
Yaani hawa Ufipa Ndio wa kuwaambia CCM Hawajitambui?!!
Ngoja niishie hapo dadeki [emoji209]
.CCM hakuna anaye jitambua,ndio maana hata tafiti zilionesha wapenzi wa chama Cha mboga mboga ni wapumbavu.
πππWewe unaona katika hao viongozi wako kuna anayejitambua? Wao wanachowaza jinsi watakavyoiba kura ili waendelee kutawala. Washenzi sana
Kwa kifupi wewe ni chawa halisi wa Kinana.Nimemsikiliza Komredi Kinana lakini hii sentence ya Chadema imemikarahisha mno
Yaani hawa Ufipa Ndio wa kuwaambia CCM Hawajitambui?!!
Ngoja niishie hapo dadeki πΌ
Kasoro Mzee Warioba.ccm kuna mtu? si manyangau tu
Mfano UWT toka Joketi ameteuliwa mmefanya kitu gani?Nimemsikiliza Komredi Kinana lakini hii sentence ya Chadema imemikarahisha mno
Yaani hawa Ufipa Ndio wa kuwaambia CCM Hawajitambui?!!
Ngoja niishie hapo dadeki πΌ
Kasoro Mzee Warioba.
Unamuonea gele? ππMfano UWT toka Joketi ameteuliwa mmefanya kitu gani?
Itisheni hata kikaoUnamuonea gele? ππ
Yaani hawa Ufipa Ndio wa kuwaambia CCM Hawajitambui?!!
Bwashee, siwezi kuwaheshimu watu wasiohshimu demokrasia maana kutoheshimu demokrasia ni UUAJI kama magufuli alivyoua watu. Makonda MUUAJI bdo mnampa bendera yenu aipeperushe! nyie ni WAUAJI, sitowaheshimuBwashee tuheshimiane π
Nimemsikiliza Komredi Kinana lakini hii sentence ya Chadema imemikarahisha mno
Yaani hawa Ufipa Ndio wa kuwaambia CCM Hawajitambui?!!
Ngoja niishie hapo dadeki πΌ
We umeona NANI ndani ya CCM anajitambua?Nimemsikiliza Komredi Kinana lakini hii sentence ya Chadema imemikarahisha mno
Yaani hawa Ufipa Ndio wa kuwaambia CCM Hawajitambui?!!
Ngoja niishie hapo dadeki πΌ