Elections 2010 Kinana alia na REDET adai imeilima CCM katika kura ya maoni!!!!!!!!!!!

Elections 2010 Kinana alia na REDET adai imeilima CCM katika kura ya maoni!!!!!!!!!!!

Hili jambazi la kisomali linatufanya sisi wajinga kwamba hatuna akili! Yamechakachua kura za maoni kwa kushirikiana na REDET, then anajifanya analalamika ili tuone kuwa hakukuwa na mawasiliano yoyote katika uchakachuaji kati ya CCM na REDET. 2010 sidanganyiki, mama, baba,wadogo na kaka zangu hatudanyanyiki.

Mwaka 1995 Kinana naye alinukuliwa akilalamika kupinga kufutwa kwa matokeo ya majimbo saba ya Jiji la Dar es Salaam wakati ukweli ni kwamba kulikuwa na njama za kuharibu uchaguzi katika majimbo hayo ili NCCR-Mageuzi ishindwa. Naomba niwakumbushe:
www address of this document (URL): http://www.snafu.de/~mjm/tz/chintowa.html

PRESS REPORT SOON AFTER FIRST RUN OF ELECTION OCT/NOV 1995
TANZANIA-POLITICS: DISMAL PERFORMANCE AT FIRST MULTIPARTY POLLS
By Paul Chintowa
DAR ES SALAAM (IPS)--Tanzania's national electoral commission today ordered fresh elections in the capital's seven constituencies, admitting that the country's first multiparty polls, held yesterday, had been marred by irregularities. "Due to delays, confusion and irregularities, we have ordered fresh elections for Dar es Salaam voters next week," electoral commission chair Lewis Makame announced.Makame's announcement came after six of the 13 parties that participated in the presidential and parliamentary elections charged that they had not been fair and demanded the immediate formation of a transitional government led by the Chief Justice and comprising all political groups in the country.
In a joint statement issued after a meeting that lasted throughout this
morning, the six opposition parties said the transitional administration
should prepare fresh elections. The statement, addressed to Makame, said the opposition no longer had confidence in his commission or in the government, which had appointed it. The six parties included the main opposition group, the NCCR-Mageuzi, and the Civic United Front (CUF). They complained that election materials were delivered late and voting was delayed in many of the country's provinces.Yesterday, frustrated voters threw stones at polling centers in Dar es Salaam and some returned home after waiting for hours without getting a chance to vote.
"The commission is to blame for the entire fiasco," said Ibrahim Lipumba, presidential candidate for the CUF, the main opposition party in the Indian Ocean archipelago of Zanzibar, whose people also voted in yesterday's polls.Zanzibar and Taganyika make up the United Republic of Tanzania. Zanzibaris voted on Oct. 22 for the president of their self-governing territory and its national assembly, but those elections were also marred by irregularitIes, according to the CUF.
While the Tanzanian electoral authorities had denied the CUF's claims and rejected its call for fresh elections in Zanzibar, they were forced to admit that the Oct 29 elections had been flawed. "It's true there were delays and confusion in some provinces," said Makame, who explained that the delays were caused by returning officers who allegedly allowed more people to vote than originally scheduled."The number of materials (ballots, etc.) we had was different from what the returning officers in regions (up country) had," he explained.
Police sources said they arrested several people whom they found with fake ballot papers stamped by fake election officers. "We impounded six ballot boxes yesterday," a senior police officer said.Lipumba said the CUF had notyet decided whether to take part in next week's rerun, while other opposition parties hinted that they might boycott it. "We don't know what will happen," said Augustine Mrema, presidential candidate of the National Convention for Constitutional Reform (NCCR-Maguezi).
"Things may be tough and the elections might be rigged."The ruling Chama Cha Mapinduzi also joined the opposition in condemning the NEC's handling of the polls. "We expected the commission to work diligently because they had ample time to do so," said Col. Abdulrahaman Kinana, the CCM's campaign manager. Four political parties, the CUF, CCM, NCCR-Maguezi and the United Democratic
Party, fielded candidates in the presidential polls, while 13 contested the election for the country's 270-member national assembly.
Western nations provided the Mwinyi government with $10 million in financing for the elections, the first multiparty polls to be held here in three decades, but appeared unlikely to contribute any funds for the rerun. "We are not ready to pour more money," said one Western diplomat who requested anonymity.
(END OF IPS REPORT BY PAUL CHINTOWA)

World Wide Web address of this document: http://www.snafu.de/~mjm/tz/chintowa.html
back to: integral studies go to: "Democracy in Action"
 
Hili ni tatizi kubwa la CCM -- kukosa mtu safi wa kuwa msemaji wao mkuu hasa wakati huu wa kampeni. Mimi nadhani CCM sasa hivi hawana kabisa viongozi wasafi na ndiyo maana watu kama kina Kinana wanafanya kazi hiyo. Tatizo linakuja pale chochote anachotamka watu kwanza huanza kushambulia uchafu wake na kutupilia mbali yale aliyoyatamka. Nawaonea huruma CCM kufikia level hii... INASIKITISHA!!!!!!

Unachosema ni kweli kabisa na ndiyo maana vigogo wa chama hicho -- kama vile Mkapa, Dr Salmin, Mwinyi, Sitta, Sumaye, Malecela, Warioba wtc -- wamemkimbia JK katika kampeni zake ambapo isasa nabidi autegemee ule mtandao wake wa kifisadi uliomuingiza mwaka 2005 (na tumeona alivyowabeba ktk kampeni hizi) na pia familia yake.

Lakini hata jivyo kwa Kinana kuwa msemaji wa CCM? Iko kazi kweli kweli!!!!
 
wewe unayejiita burn nakuuliza tena ulishawahi kuugua degedege? nataka nikusaidie maana matokeo ya huo ugonjwa ni kutokuwaza sawasawa

hajakuambia bi mkubwa?
 
:clap2:
Hili jambazi la kisomali linatufanya sisi wajinga kwamba hatuna akili! Yamechakachua kura za maoni kwa kushirikiana na REDET, then anajifanya analalamika ili tuone kuwa hakukuwa na mawasiliano yoyote katika uchakachuaji kati ya CCM na REDET. 2010 sidanganyiki, mama, baba,wadogo na kaka zangu hatudanyanyiki.


Excellent kumbe unaona, anajifanya hajui what was going on, kumbe anatuzunguka,
PIGA, HII JAMBAZI YA KISOMALI, RUDISHA SOMALIA ASITULETEE VURUGU KAMA KWAO JAMANI PIGA HII MUTU, FISADI SAAANA, MIZI HII, INA MELI KIBAO, INAIBA OUR RESOURCES, PELEKA KWA NDUGU ZAO SOMALIA ASITUSABAISHIE VITA, WW KINANA WHO DO YOU THINK IS STUPID, THIS IS 21 CENT, NGOJEA DR SLAA AINGIE UTASHAA, NDANIIIIIIIIIII SEGEREA, CHANGE IS COMING, MSIWAJALI REDET = CCM, NDIO WANAWAPA NGUVU WANANCHI, HAWAJUI, WATASHANGAAA 2010, TULISHDANGANYIKA FOR 50 YRS, 2010 HATUDANGANYIKI. KURA ITAWASHANGAZA WW NGOJEA:clap2::fencing::yield::rockon::target:
 
Hey guys, Take a deep breath and be ready for CCM victory!
I assume most of you need to include KoolAid in your grocery lists since the election results will shock you big time!
CCM Rules. Indians Rule!:hand:
 
big up ITV kwenye taarifa ya habari ya saa mbili, kwa kuonyesha maoni ya watu waliodhani matokeo ya REDET yana utata.
 
Its very true kwamba kwenye JF Slaa anashinda kura za maoni lakini in reality CCM wataendelea kuongoza. Watanzania hawawezi kuiweka nchi kwenye majaribio, nina sababu za msingi kusema haya. Nadhani Chadema baada ya uchaguzi mkuu mjipange upya muangalie upya chama chenu especial masuala ya ukoo kwenye chama na kumaliza mgogoro wa chini kwa chini na naibu katibu mkuu wenu.
Alamsiki.
 
Kinana anajua kilichofanyika, anahofu sana. Dr slaa anakubalika kuliko JK.

TBC wafanye utaratibu kura za live , unapiga simu na kumtaja mgombea unayempenda awe rais 2010.

Then wapime nani ataongoza. Matokeo yatawashangaza.
Kitu chochote kinachohusisha pesa ccm wata win hands down.Wanaweza kuwalipa hata watu mia moja kazi yao ikawa kupiga simu na bila kusahau TBC hawawezi kufanya kitu chochote kitakacho wapunguzia ccm kura.
 
Kinana anajua kilichofanyika, anahofu sana. Dr slaa anakubalika kuliko JK.

TBC wafanye utaratibu kura za live , unapiga simu na kumtaja mgombea unayempenda awe rais 2010.

Then wapime nani ataongoza. Matokeo yatawashangaza.

Mkuu wakifanya kupitia TBC yatakuwa yaleale tu simu zote watakuwa wanapiga jamaa zetu wale wale wa UWT, hukumbuki JK alivyofanya interview ya live TBC?
 
Ndugu zangu matusi s mazuri tupo wengi wenye famla zetu pls mjibu mtu kwa hekima, jamvi hili n lakutafuta ukombozi wa wa tz
 
Back
Top Bottom