Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wakati wananchi tunahangaika kupata mahitaji yetu muhimu mh. Kinana anahangaikia kura za uchaguzi mdogo wa mwaka huu!
Kwake nchi na wananchi hawana matatizo yoyote ya mahitaji yao ya kila siku, wameridhika.
Kutokana na CCM kuwatimizia mahitaji wananchi ni wakati sasa CCM kujikita kwenye kutafuta kura kwenye uchaguzi mdoga wa mwka huu.
CCM hoyee, mama ameupiga mwingi.
Picha ya sanduku la kura au ya sukari.tupia picha pls.
Naona ni zaidi ya mtu mweusi, mbona George Weah mweusi lakini hakufanya kama Magufuli, alikuwa wa kwanza kupongeza.Tanzania hakuna uchaguzi, Bali Kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
Naona ni zaidi ya mtu mweusi, mbona George Weah mweusi lakini hakufanya kama Magufuli, alikuwa wa kwanza kupongeza.
Kwahiyo Weah ni zaidi ya mtu mweusi, viongozi wetu wamekulia kwenye familia za hatua ndefu yaani chai andazi kunywa saa tano asubuhi kisha ugali saa 9 na nusu alasiri, hiyo imetoka mpaka kesho, kwa kifupi mlo mmoja mboga moja kwa siku. Hawa viongozi wakiuonja urais hawataki kuuachia kwa gharama yoyote ile kwani huko wanakutana na mboga nne! Wananogewa.Weah kaishi ulaya ndio maana kaiga ustaarabu wa huko. Ifahamike network kubwa ya Weah ni huko Ulaya na US, hivyo kwa kuelewa standard za huko ilibidi afanye hivyo.
akiangaika KinanaPicha ya sanduku la kura au ya sukari.
Wanajipikia matokeo utasikia mtu amepata ushindi wa asilimia 87 na Mungu naye akitaka kumueleleza ndiyo utasikia baada ya kufanikisha ushindi kwa wizi wa kura anamuacha asheherekee ushindi wake wa mchongo kwa miezi minne kisha anampaisha mawinguni kwenda kuchezea virungu vya kichwa.Kwahiyo Weah ni zaidi ya mtu mweusi, viongozi wetu wamekulia kwenye familia za hatua ndefu yaani chai andazi kunywa saa tano asubuhi kisha ugali saa 9 na nusu alasiri, hiyo imetoka mpaka kesho, kwa kifupi mlo mmoja mboga moja kwa siku. Hawa viongozi wakiuonja urais hawataki kuuachia kwa gharama yoyote ile kwani huko wanakutana na mboga nne! Wananogewa.