Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Leo nimejikuta nacheka sanaaa.. Mwenyekiti wa Kampeni ya Urais ya Kikwete Bw. Kinana akihojiwa mapema leo asubuhi na ITV amevisihi vyama vingine visiwaeleze sana mambo mabaya na yenye kubebesha lawama serikali ya Kikwete kwani kwa kufanya hivyo wanawachanganya wananchi. "Tuna matatizo mengi ya afya, elimu, maji, miundombinu hivyo tuzungumzie sera zaidi tutafanya nini" amesema Kinana.
Je vyama vingine vitamsikiliza na kuacha kuzungumzia mambo ya kashfa au ubovu na kuanza kueneza sera tu? Je kuna umuhimu wa kuwajulisha wananchi mambo yaliyokwenda kombo miaka mitano iliyopita?

Nini? Wanataka wizi wao na hujuma kubwa waliofanya dhidi ya wananchi usizungumzwe jukwaani? Wao wana-control kodi zinazokusanywa kwa hivyo wana advantage ya kueleza "mafanikio" waliyoleta. Na upinzani wana haki ya kusema "mafanikio" hayo ni upuuzi kwani mnaiba hela nyingi zingine. Iko mbaya gani hapa?
Hata hivyo Dr Slaa anafanya yote mawili CCM -- anawaponda CCM kwa ufisadi wao na hapo hapo anaeneza atafanya nini akiingia madarakani.
Kweli maji shingoni hawa!!!! Strategy yao hii ni ya kipuuzi kabisa!!!! Songa mbele Dr Slaa -- yamebakia mabomu mangapi vile? Na ninaona umeanza na yale mepesi mepesi -- yaani rasha rasha tu.