Mpambalyoto
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 752
- 3
Alikuwa anaongea kwa uoga sana, naona ile meli imemmaliza nguvu kabisa yaani y uko chali na timu yake anaogopa hata kutaja ratiba ya kampeni ya JK anataja kwa kigugumizi; DR chanja mbuga mwezi wa mwisho watashindwa hata kupanda majukwaani hapo ndio wataona watanzania wanavyoichukua nchi yao
Uzuri Dr. Kinana anajua sheria za pori. Kuna siku hata simba mwenyewe hunyatiwa kuliwa, sembuse yeye? Jamaa wana mikutano utafikiri wanajipanga kwenda kupigania uhuru. Hawalali, wanahama toka hoteli moja kwenda nyingine asubuhi hadi asubuhi acha vya majumbani kwao