Mpambalyoto
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 752
- 3
Alikuwa anaongea kwa uoga sana, naona ile meli imemmaliza nguvu kabisa yaani y uko chali na timu yake anaogopa hata kutaja ratiba ya kampeni ya JK anataja kwa kigugumizi; DR chanja mbuga mwezi wa mwisho watashindwa hata kupanda majukwaani hapo ndio wataona watanzania wanavyoichukua nchi yao
kiukweli wamezidiwa msomali atajuta kumchokoza slaa
Umenifanya leo nicheke....yaani Mkwere kila aonapo maji anaahidi meli haa haa haaaa, akienda Zanzibar ataona uzushi kuahidi meli tena maana watampuuza nafikiri safari hii ataahidi kuunganisha reli ya Tanga hadi Pemba Haa haaaaaaaaa.Jamaa anaona ni wachafu ndo maana anakimbilia kwenye kusema sera ndo zisemwe. Maana anajua CCM ni wazuri kwenye sera zisizotekeleza. Mkwele sasa hivi ameahidi bajaji kwa kinamama wajawazito, neti 2 kwa kila kaya, kila aakiona ziwa au mto anaahidi meli na bado ataahidi kujenga bandali Singida. Harafu
Mkuu MM KJJ,Leo nimejikuta nacheka sanaaa.. Mwenyekiti wa Kampeni ya Urais ya Kikwete Bw. Kinana akihojiwa mapema leo asubuhi na ITV amevisihi vyama vingine visiwaeleze sana mambo mabaya na yenye kubebesha lawama serikali ya Kikwete kwani kwa kufanya hivyo wanawachanganya wananchi. "Tuna matatizo mengi ya afya, elimu, maji, miundombinu hivyo tuzungumzie sera zaidi tutafanya nini" amesema Kinana.
Je vyama vingine vitamsikiliza na kuacha kuzungumzia mambo ya kashfa au ubovu na kuanza kueneza sera tu? Je kuna umuhimu wa kuwajulisha wananchi mambo yaliyokwenda kombo miaka mitano iliyopita?
Leo nimejikuta nacheka sanaaa.. Mwenyekiti wa Kampeni ya Urais ya Kikwete Bw. Kinana akihojiwa mapema leo asubuhi na ITV amevisihi vyama vingine visiwaeleze sana mambo mabaya na yenye kubebesha lawama serikali ya Kikwete kwani kwa kufanya hivyo wanawachanganya wananchi. "Tuna matatizo mengi ya afya, elimu, maji, miundombinu hivyo tuzungumzie sera zaidi tutafanya nini" amesema Kinana.
Je vyama vingine vitamsikiliza na kuacha kuzungumzia mambo ya kashfa au ubovu na kuanza kueneza sera tu? Je kuna umuhimu wa kuwajulisha wananchi mambo yaliyokwenda kombo miaka mitano iliyopita?
Alikuwa anaongea kwa uoga sana, naona ile meli imemmaliza nguvu kabisa yaani y uko chali na timu yake anaogopa hata kutaja ratiba ya kampeni ya JK anataja kwa kigugumizi; DR chanja mbuga mwezi wa mwisho watashindwa hata kupanda majukwaani hapo ndio wataona watanzania wanavyoichukua nchi yao
Siyo hilo tu -- pia anajua uraia wake ni wa karatasi tu -- hivyo kwa mfano hawezi kuwa rais wa nchi hii -- sanasana atabakia na role yake hiyohiyo ya kupiga debe. Nimesikia kuna jamaa wanapeleka mahakamani pingamizi kuhusu uraia wake, wanasema uhamiaji waliboronga maana wameshapata docs zake. Mwaka huu!.............
Uzuri Dr. Kinana anajua sheria za pori. Kuna siku hata simba mwenyewe hunyatiwa kuliwa, sembuse yeye? Jamaa wana mikutano utafikiri wanajipanga kwenda kupigania uhuru. Hawalali, wanahama toka hoteli moja kwenda nyingine asubuhi hadi asubuhi acha vya majumbani kwao

bora yesheee!Leo nimejikuta nacheka sanaaa.. Mwenyekiti wa Kampeni ya Urais ya Kikwete Bw. Kinana akihojiwa mapema leo asubuhi na ITV amevisihi vyama vingine visiwaeleze sana mambo mabaya na yenye kubebesha lawama serikali ya Kikwete kwani kwa kufanya hivyo wanawachanganya wananchi. "Tuna matatizo mengi ya afya, elimu, maji, miundombinu hivyo tuzungumzie sera zaidi tutafanya nini" amesema Kinana.