Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Leo nimejikuta nacheka sanaaa.. Mwenyekiti wa Kampeni ya Urais ya Kikwete Bw. Kinana akihojiwa mapema leo asubuhi na ITV amevisihi vyama vingine visiwaeleze sana mambo mabaya na yenye kubebesha lawama serikali ya Kikwete kwani kwa kufanya hivyo wanawachanganya wananchi.
Aaaaah mkuu wangu Pasco sikutegemea kama wewe utaweza kusema hivi. Yaani kweli unaweza kwenda mbele pasipo kujua fault zilizowakwamisha ni zipi ili kuzirekebisha ili ku set hizo trend za kwenda mbele. I mean mkuu wangu hata sikuelewi kabisa hapa.Japo siungani na msomali moja kwa moja, lakini hoja ya msingi ina mantiki tuu tusibakie kulaumu, kulalamika na kulalama tuu, bali kampeni ziseme tutafanya nini.
Yaani zisibakie kampeni za fault finding mission, bali trend setting mission, hayo mabaya ya nyjuma/CCM yatumike kama sababu, cause ya kutufikisha hapa tulipo, na isiwe ndio the only finger pointing CCM, CCM, tunawapa free publicity hawa CCM kwenye kampeni zetu.
Ni sawa na kuhubiri pasopo kutaja ubaya wa shetani na dhambi.Leo nimejikuta nacheka sanaaa.. Mwenyekiti wa Kampeni ya Urais ya Kikwete Bw. Kinana akihojiwa mapema leo asubuhi na ITV amevisihi vyama vingine visiwaeleze sana mambo mabaya na yenye kubebesha lawama serikali ya Kikwete kwani kwa kufanya hivyo wanawachanganya wananchi. "Tuna matatizo mengi ya afya, elimu, maji, miundombinu hivyo tuzungumzie sera zaidi tutafanya nini" amesema Kinana.
Je vyama vingine vitamsikiliza na kuacha kuzungumzia mambo ya kashfa au ubovu na kuanza kueneza sera tu? Je kuna umuhimu wa kuwajulisha wananchi mambo yaliyokwenda kombo miaka mitano iliyopita?
Ni sawa na kuhubiri pasopo kutaja ubaya wa shetani na dhambi.
Ubaya au ubovu haujileti bali hupangwa na kustawishwa na wenye dhamira.
hivyo kuwabebesha lawama CCM ndo mwake kwani hawakusaidiwa na mtu kuimong'onyoa Tanzania hadi kufikia hapa tulipo.
Lazima tuseme na kama si hivyo mawe yatapiga kelele
Wananchi wana haki ya kujua uovu wa serikali ya CCM ili wafanye uchagizi uliokwenda shule. Ukweli utabakia kuwa ukweli, Kinana anatakiwa kulifahamu hilo!
Lakini nimejiuliza nilipomsikiliza mbona lugha ilikuwa imepowa na sauti ilikuwa ya kiuungwana ,sio ile tena ya kuonyesha kwamba tayari wamekata nchi iwe isiwe,nimejiuliza mengi nikasema nini wanachokiona mbele yao,msomali wa watu amekazana pia kuonyesha kwamba wao sio wanaotumia lugha za matusi,ukweli wananchi wanaujua nani mwenye matusi na ngebe
Kinana is a smart fellow, trust me! Ndio maana anapewa kazi kama hiyo ya kuongoza jahazi wakati wa kampeni maana akiwa mtu wa jazba ataharibu mambo.
Wameshindwa kuelewa kuwa wao wanatakiwa kutangaza sera zao.HATA mbatia alimsihi mgombea wake kuzungumzia sera za chama chake.Japo siungani na msomali moja kwa moja, lakini hoja ya msingi ina mantiki tuu tusibakie kulaumu, kulalamika na kulalama tuu, bali kampeni ziseme tutafanya nini.
Yaani zisibakie kampeni za fault finding mission, bali trend setting mission, hayo mabaya ya nyjuma/CCM yatumike kama sababu, cause ya kutufikisha hapa tulipo, na isiwe ndio the only finger pointing CCM, CCM, tunawapa free publicity hawa CCM kwenye kampeni zetu.
Wameshindwa kuelewa kuwa wao wanatakiwa kutangaza sera zao.HATA mbatia alimsihi mgombea wake kuzungumzia sera za chama chake.
Wameshindwa kuelewa kuwa wao wanatakiwa kutangaza sera zao.HATA mbatia alimsihi mgombea wake kuzungumzia sera za chama chake.
Japo siungani na msomali moja kwa moja, lakini hoja ya msingi ina mantiki tuu tusibakie kulaumu, kulalamika na kulalama tuu, bali kampeni ziseme tutafanya nini.