Elections 2010 Kinana aomba wasilaumiwe sana - "Tusiwachanganye wananchi"


Nitarudia yaliyokwisha semwa humu jamvini, kinachotokea, watafuta kura wanatumia muda mwingi kuelezea sera zao na jinsi watakavyokabiliana na matatizo ya maendeleo. Ila kama vile 'by the way' wanagusia mabomu yaliyokwisha elekezwa kwao. Sasa waandishi wa habari wanakuza hilo wanasahau hata lile lililoweka hadharani. Tatizo naliona ni kwa waandishi, wanapenda mno sensational news! Angalia Habarileo alichoweza kuona ni Dr Slaa akiwa na 'wachumba' wake wawili! Ni nani hapa wa kulaumu? Sio huyu kwa makusudi kabisa anapotosha uma! Yaani inakuwa kama vile Slaa alijiandaa kwenda kuwaonyesha hao. Tatizo ni poor and biased reporting, na hii inatokana na taaluma ya uandishi wa habari kukosa maadili; ndio maana wamekuwa wakinunuliwa kushoto na kulia na tycoons kama RA, EL, BWM na JK!
 
N safari hii tamko kuhusu uraia wake utatolewa na chombo husika ambacho ni competent for thr job (Mahakama) na siyo Muungwana, Makamba, Masha or those b***** f****** returning officers!


Mahakama gani mkuu, unategemea jaji anayekuja kumsema Marando kwenye halaiki asiongelee kesi za EPA jukwaani ndio atasimamia haki? Jaji aliyechaguliwa kimtindomtindo atakupeni haki? Jaji aliyekataa kujibu hoja ya mgombea huru/binafsi na kusukumia hoja hiyo Bungeni atakupa haki? nafikiri tuna kazi ya ziada kufunua kwanza chungu tujue ndani mna nini ndipo tusonge mbele
 

Ni lazima yote yaende sambamba. Ukisema utafanya nini bila kuwaeleza wananchi huyu unayetaka kumuondoa amekosea wapi na ameshindwaje, hiyo tena haitakuwa kampeni ya chama cha upinzani. Hata Obama alieleza ubaya wa serikali ya republican ndipo akaeleza atafanya nini na watu wakamuelewa.
 

Rostam Aziz aahidi kulipa deni lote la Tanzania around 7 billion USD:eek2:
 
its becoming an obsession now

Inaonekana Kinana amekuwa more thread kuliko hata mgombea mwenyewe

halafu in all this hakuna hata chembe ya ushahidi au chochote kuthibitisha tuhuma dhidi yake
 
Kwani miaka yote hii arobani ya CCM madarakani, wananchi bado masikini kama ilivyokuwa siku ya mwanzo baada ya uhuru, Kinana atwambie kuanzia lini wananchi waanze kuhoji ahadi za chama tokea uhuru hadi leo mfumo wa vyama vingi umerudi, au wananchi waendelee kusubiri mlolongo wa ahadi zisizokwisha?
 
Yaani SISIEMU inachekesha sana.
Kwa kawaida mtu huwa anajifunza kutokana na makosa yake, sasa wenyewe hawataki kukiri ni wapi walilegea au kujikwaa.....labda wangeweza kusimama tena. Lakini wanavyozidi kuukana usanii wao for those five years, inawezekana kabisa wasiweze hata kuinuka.
Kama kweli ni waungwana, basi hata JK anaweza kuitisha press conference pale Lumumba na kuwaeleza kuwa ni kweli alimuagiza Mkapa kuwaibia fedha toka BoT. Kisha atangaze kuwa amejiondoa kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi. Naamini atakuwa ame-set standard na credibility yake yaweza kuheshimiwa pale atakapojisalimisha mahakamani kwa wizi.
 
Akazuie utekaji wa meli na mauaji ya Al-Shabab kwao.....siasa za bongo hazimuhusu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…