Kinana atembelea ofisi za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

Kinana atembelea ofisi za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
KINANA ATEMBELEA OFISI ZA PROGRAMU YA URITHI WA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, ametembelea ofisi za Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, na kujionea hatua mbalimbali zilizofikiwa katika kuboresha majengo yake ya kutunza kumbukumbu muhimu kama kisima cha maarifa kwa kizazi cha sasa na baadaye. katika Ziara hiyo aliambatana na Waziri wa Michezo, Sanaa na Utamadudi, Mohammed Mchengerwa pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Said Yakubu.

#CCMImara
#KaziIendelee

IMG-20220420-WA0419.jpg


IMG-20220420-WA0427.jpg


IMG-20220420-WA0420.jpg


IMG-20220420-WA0417.jpg


IMG-20220420-WA0421.jpg


IMG-20220420-WA0424.jpg
 
hii habari ingetakiwa ipositiwe Lumumba, humu haituhusu.
 
Back
Top Bottom