Tetesi: Kinana hajapenda kuendelea na kazi ila hana namna

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
62,197
Reaction score
128,160
Kutoka katika viunga vya mkutano wa CCM kukabidhiwa chama kwa Rais Pombe,
Wadau wa CCM wanaomfahamu Kinana wameweka wazi kuwa Kinana kalazimishwa kufanya kazi za ukatibu mkuu pasi ridhaa yake.

"Tunaomjua Kinana amechukizwa kwanza kwa kusomwa barua yake ya kujiuzulu hadharani na kujibiwa kuwa aendelee na kazi ya ukatibu hili hali ameshaamua kuendelea na shuhuli zake nyingine" alisikika kada mashuhuri wa CCM akisema hayo.

"Kitendo cha kumjibu Kinana barua yake jukwaani ilikua ni kumuaibisha kwani asingeweza kupata nafasi ya kumuambia rais kuwa hawezi tena kuendelea na kazi hiyo na tunao mjua Kinana alichukizwa na maamuzi yale "alinena maneno hayo mama maarufu na kada wa chama aliyekuwepo jukwaa kuu.

My take:

Ni dhahiri mwenyekiti mpya wa CCM alijua sehemu pekee ya kumbana Kinana asifurukute ni kuijibu barua ile jukwaani.
 
kweli BAVICHA mna bidii ya kusema uongo jana tu kikwete katoka kuwa sema kwa tabia yenu hiyo ya kutunga umbeya leo hii tena mko mzigoni!!?, hahaha endeleeni kuishi kwa tetesi
 

Atoe uzoefu ili mambo yaende
 

ANDHANI UKAWA TO DEAL NA YANAYO TUHUSU.INAKUWAJE KUSHINDA TUNAJADILI MAISHA YA MWENZETU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…