Tetesi: Kinana hajapenda kuendelea na kazi ila hana namna



Endelea kupiga Ramli na habari zako za mchangani... mlianza na ramli la uenyekiti hakabidhiwi.. sasa mmehamia kwa Kinana...... kweli ninyi wazee wa mauza uza.....

tuambie kwanza Sumayi kashinda uenyekiti wa kanda au bado figisu??
 
Wala usipate shida na hao wanaosema hayo maneno na kama na wewe unaungana nao basi wote ni wale wanaompiga vita Kinana. Na magufuli alivyo mjanja jana aliwatoa kijasho chepesi, mkashindwa kurudi nyumbani na makundi yenu kila mmoja akarudi kichwa chini. Uongozi ni Kalama sio kutengenezewa zengwe
 
kweli BAVICHA mna bidii ya kusema uongo jana tu kikwete katoka kuwa sema kwa tabia yenu hiyo ya kutunga umbeya leo hii tena mko mzigoni!!?, hahaha endeleeni kuishi kwa tetesi

HUWEZI KUTUNGA KITU TENA UKAWA MBEYA WW WAWAPI KAMA UPO DAR RUDI KIJIJINI cheti chako kinamatatizo
 
Na yeye aliyataka mwenyewe, kwa nini aliamua kumpatia barua ya kujiuzulu mahali pale? Hivi alitaka Mwenyekiti mpya amueleweje? Au alitaka na yeye tumuongeze kwenye list ya Lizabon? Alishatahadharisha naMakamba kuwa mwenyekiti wa Sasa atanyoa nywele kwa moto sasa Kinana kwa nini alilazimisha kichwa chake 'delicate' physically but toughest intellectually kikanyolewe kwa moto? Asitafute wa kumfunga kengele!!
 
Lizaboni alituaminisha humu Membe, Luhwavi na Lukuvi wanapiga fitna JPM asipewe chama
Lizaboni ni kati ya watu ambao Pombe alisema imekula kwao, maana huyu mdudu aliendesha kampeni ya kizindaki kupita kiasi dhidi wana ccm wenzake. Lakini to me nasema acha wafu wazikane wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…