KIGENE
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,552
- 813
Hapa ametajwa makamu mwenyekiti sio mwenyekiti mjomba.Si Rais ndiyo huwa mwenyekiti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ametajwa makamu mwenyekiti sio mwenyekiti mjomba.Si Rais ndiyo huwa mwenyekiti?
Wewe aliyekuambia kafa kwa corona ni nani? Embu njoo inbox uthibitishe hayo madai yako.Ndiyo ujinga huu huu mliokuwa manjibu kabla Magufuli hajafa. Kila tukitoa angalizo mlikuwa mnasema ''una ndugu kafa kwa corona''? Haya kiko wapi sasa. Tatizo ni elimu. Ukishaona mtu anasema kuchukuwa tahadhari siyo muhimu kwa sababu hakuna anayeishi milele basi ujue huyo ni mbumbumbu.
Ndio maana hata Suleiman aliomba hekima kati ya yote ambayo angeweza kupata.Mzee Kinana ana hekima sana hata kama ana makandokando kando yake binaadamu bila hekima ni sawa na mnyama!
Kinana ana faa 100%
Kumbe Wahindi na Waarabu ni Wanachana Watiifu hivyo?.Nitashangaa kama CCM itataka kurudi enzi zile za kutopanga ratiba ya mkutano Mkuu au Halmashauri kuu mpaka kwanza waulize wahindi na waarabu matajiri mjini ahadi za michango yao ya kuwezesha vikao vya chama watakamilisha lini. Narudia nitashangaa sana!
Kazi kwenu maccm!!!Huyu ile kamati ya Bashiru ya kuchunguza Mali ilisema kaiba mali za chama. Sasa anarudi tena. Hatari hii, Bashiru arudi tu akafundishe maana Kinana akirudi ni balaa tupu.
Pigeni tu kampeni ila mjue Mungu yupoWakuu,
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nafasi kubwa ndani ya chama hicho na kimsingi ndiye mchora ramani ya mwelekeo wa chama hicho.
Mzee Mangula (Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa) yupo katika siku zake za mwisho katika nafasi hiyo.
Kumekuwa na utamaduni ndani ya CCM kwa sehemu kubwa Makamu Mwenyekiti wa chama mara nyingi anatokana na Makatibu wakuu wastaafu.
Mfano Mzee Kawawa, alikuwa Katibu Mkuu then akaja kuwa Makamu Mwenyekiti, Msekwa alikuwa Katibu Mkuu, akaja kuwa Makamu Mwenyekiti, Mzee Mangula alikuwa Katibu Mkuu, akaja kuwa Makamu Mwenyekiti.
Mzee Kinana alikuwa Katibu Mkuu, si ajabu atakuwa next Makamu Mwenyekiti baada ya Mangula.
Je, CCM ikiwa mikononi mwa mzee Kinana itaweza kutaradadi tena? Nini tutarajie kitabadilika?
NOTE: Wapinzani walishamsafisha Kinana na “tuhuma za Ujangili” > Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi
Tuko pamojaNitashangaa kama CCM itataka kurudi enzi zile za kutopanga ratiba ya mkutano Mkuu au Halmashauri kuu mpaka kwanza waulize wahindi na waarabu matajiri mjini ahadi za michango yao ya kuwezesha vikao vya chama watakamilisha lini. Narudia nitashangaa sana!
Kumbe Wahindi na Waarabu ni Wanachana Watiifu hivyo?.
Ukimsoma vizuri mtoa mada utaelewa alichokusudia.Huyu alishatangaza kustaafu shughuli za chama, sioni nafasi yake, akirudi basi atakuwa ni kwa ajili ya kujijenga yeye kibinafsi, baada ya late Magufuli kuvunja mtandao wake wa kuiba jasho la watanzania.
Watu wengi hawajui kwamba hekima ni dawa ya vitu vingi sana na ni nguzo muhimu kuliko zote kwa kiongozi yoyote!Ndio maana hata Suleiman aliomba hekima kati ya yote ambayo angeweza kupata.
kama ndo zile deals zilizokuwa zinakuwa shared hadi kitaa bora zirudi kwa kweli maana sasa hivi wanakula wachache tuMwenyezi Mungu atuepushe na hawa wanamtandao a.k.a wazee wa madili.
Wenye chama huwajui weweKarne za wazee zimepitaaa
Kwa wakati huu they will be well advised kumuomba Mangulla aendelee term moja kama wanataka kumthibiti Vasco Dagama.Wote wanaotajwa tajwa hawatakuwa
Njia zake si zetu na akili zake hazichunguziki...Never under estimate the power of God, ukitaka ushuhuda subiri tu!Angekuwa ana mpango wa kuwaepusha angempumzisha Jpm kweli? Nadhani jiandae kisaikolojia.
What is to happen has to happen...All things work together for good!Kwa wakati huu they will be well advised kumuomba Mangulla aendelee term moja kama wanataka kumthibiti Vasco Dagama.
Mangulla peke yake ndio anaweza kumsaidia Samia kwenye hii transition. Vasco Dagama akifanikwa kumuweka Kinana, watagawanyika na hawatakuwa salama!!