Kinana kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa?

Kweli nimeamini yatima hadeki, yani mataga yamepigwa na butwaa kama yanaota vile
 
Wewe aliyekuambia kafa kwa corona ni nani? Embu njoo inbox uthibitishe hayo madai yako.
 
Nitashangaa kama CCM itataka kurudi enzi zile za kutopanga ratiba ya mkutano Mkuu au Halmashauri kuu mpaka kwanza waulize wahindi na waarabu matajiri mjini ahadi za michango yao ya kuwezesha vikao vya chama watakamilisha lini. Narudia nitashangaa sana!
 
Reactions: Ame
Mzee Kinana ana hekima sana hata kama ana makandokando kando yake binaadamu bila hekima ni sawa na mnyama!
Kinana ana faa 100%
Ndio maana hata Suleiman aliomba hekima kati ya yote ambayo angeweza kupata.
 
Kumbe Wahindi na Waarabu ni Wanachana Watiifu hivyo?.
 
Pigeni tu kampeni ila mjue Mungu yupo
 
Tuko pamoja
 
Kumbe Wahindi na Waarabu ni Wanachana Watiifu hivyo?.

Watiifu kwa deal tena sana, ndio hivyo. Maswali yao ni rahisi tu ili kujipatia uhakika. Yako hivi ...Kama Mimi changia wewe kutano yako kuu pata nini shasha badala yake? Wanajibiwa utapata tembe ya ndovu na hutasambuliwa na askari wetu. Ana uliza na tena ,ntaweza mimi hata tukana hiyo sikari kama sumbua mimi? Kazi kweli kweli.
 
Huyu alishatangaza kustaafu shughuli za chama, sioni nafasi yake, akirudi basi atakuwa ni kwa ajili ya kujijenga yeye kibinafsi, baada ya late Magufuli kuvunja mtandao wake wa kuiba jasho la watanzania.
Ukimsoma vizuri mtoa mada utaelewa alichokusudia.
Makamu watatu waliopita akiwemo mzee Mangula walishastaafu siasa, lakini kutokana na uwezo wao waliombwa na chama warudi ili wamsaidie Mwenyekiti, ambaye mara nyingi anakuwa busy na mambo serikali.
 
Ndio maana hata Suleiman aliomba hekima kati ya yote ambayo angeweza kupata.
Watu wengi hawajui kwamba hekima ni dawa ya vitu vingi sana na ni nguzo muhimu kuliko zote kwa kiongozi yoyote!
 
Wote wanaotajwa tajwa hawatakuwa
Kwa wakati huu they will be well advised kumuomba Mangulla aendelee term moja kama wanataka kumthibiti Vasco Dagama.
Mangulla peke yake ndio anaweza kumsaidia Samia kwenye hii transition. Vasco Dagama akifanikwa kumuweka Kinana, watagawanyika na hawatakuwa salama!!
 
Reactions: Ame
Angekuwa ana mpango wa kuwaepusha angempumzisha Jpm kweli? Nadhani jiandae kisaikolojia.
Njia zake si zetu na akili zake hazichunguziki...Never under estimate the power of God, ukitaka ushuhuda subiri tu!
 
What is to happen has to happen...All things work together for good!

Mtoto akililia wembe unampa, God is sovereign
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…