Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Akapangue hoja za LisuMakamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma.
#KaaKaribunaRuningayako
#ChamaImara
#KaziIendelee
Kila watu wafanye kazi kwenye nchi yao, wajenge nchi yao, ujanjaujanja ufike mwisho sasaAjue kabisa muungano huu umekaa kinyonyaji,aje na majibu ya maana sio propaganda na upotoshaji.
Suala la ardhi,kazi katika utumishi wa umma tunataka usawa ndani ya jamhuri ya muungano
Magwiji wa siasa huwa hawategemei kubebwa na dola.Moja ya magwiji ya siasa afrika mashariki na kati, nadhani idara ya siasa chuo kikuu cha Dsm iandae mradi kwa kushirikiana na wachapaji kama Mkukinna Nyota, wawe wanaandaa vitabu kwa kushirikiana na ma-giant ya kisiasa kama Kinana, kwa kumbukumbu na kupasisha welwdi kutoka kizazi, kwenda kizazi, hata kama cha Mtei kikiwepo sawa
DuhMoja ya magwiji ya siasa afrika mashariki na kati, nadhani idara ya siasa chuo kikuu cha Dsm iandae mradi kwa kushirikiana na wachapaji kama Mkukinna Nyota, wawe wanaandaa vitabu kwa kushirikiana na ma-giant ya kisiasa kama Kinana, kwa kumbukumbu na kupasisha welwdi kutoka kizazi, kwenda kizazi, hata kama cha Mtei kikiwepo sawa
Siasa mchezo mchafu lo
Lissu kawatoa shimoni hao panya!!!Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara) Komred Abdulrahman Kinana kuzungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma.
#KaaKaribunaRuningayako
#ChamaImara
#KaziIendelee
Msomali kuzungumzia hoja za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar!!! Tumekosa Watanganyika na Wazanzibar wa kuuzungumzia muungano?Pembe za ndovu zipo hatarini