Kinana na CCM tunaomba majibu ya kero hizi za Muungano

Kuna nchi inatumia katiba 2
Mfano mzuri ni Nyie Bawacha na Chadema

Wewe unatumia haki za Katiba 2 ya Chadema na ya Bawacha

Mnyika anatumia haki ya Katiba 1 tu ya Chadema kwa sababu Bavicha kavuka na Bazecha hajafika

Mzanzibar haki zake zimo kwenye Katiba ya JMT ya 1977 na ile ya Zanzibar ya 1984

Nadhani umeelewa 😂😂
 
UWT mnatumia katiba gani ndani ya CCM?
 
Mfano mzuri ni Nyie Bawacha na Chadema

Wewe unatumia haki za Katiba 2 ya Chadema na ya Bawacha

Mnyika anatumia haki ya Katiba 1 tu ya Chadema kwa sababu Bavicha kavuka na Bazecha hajafika

Mzanzibar haki zake zimo kwenye Katiba ya JMT ya 1977 na ile ya Zanzibar ya 1984

Nadhani umeelewa [emoji23][emoji23]
Hahahaha ila wewe maza unavituko sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Maswali kuntu sana hayo, as for he is afande Kinana sijui kama atayaweza hayo maswali bila kuharibu wanachofikiria watawala maana hata wanachama wengi wa CCM wanagugumia maumivu na keto za MUUNGANO huu fake kisirisiri hata hiko kidogo wanachopata kisije kikaingia mchanga😀😀.
His era has already gone 🙌
 
Back
Top Bottom