Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 222
wanaoweza wamuangalie Dr Slaa na Kinana wakiwa Star TV live now.
I don't like this,why kinana?
Kinana anasema viongozi wa TCIB ni makada wa Chadema, utafiti wao ulompa Dr Slaa ushindi ulipikwa.
Mimi msimamo wangu ni tofauti kidogo,"you can not compare like with unlike"apple can not be compared with an orange.Although, altogather are fruits.This is unfair game.Mdahalo ulipaswa uwe kati ya Dr Slaa na Kikwete,because they are presidential candidates for CHADEMA and CCM respectively.
Kinana amekubali kuwa ahadi ni nyingi, na kudai kuwa ni ahadi za kiongozi ila sio za chama