Elections 2010 Kinana na Dr Slaa - Live Star TV

Elections 2010 Kinana na Dr Slaa - Live Star TV

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Posts
3,727
Reaction score
2,217
wanaoweza wamuangalie Dr Slaa na Kinana wakiwa Star TV live now.
 
Ameongelea umuhimu wa kuwa na baraza dogo la mawaziri
 
Namuona Dr hapa star tv mza huku Jk kakacha na kumsukumia jukumu la mdahalo Kinana. Hii ni dhahiri kuwa Jk anamgwaya Dr wa ukweli. Nawasilisha.
 
Kumbe wamefanya kazi wote na kinana for some time na wana fahamiana vyema
 
Namwona live, nilikuwa nawahi kazini lakini inabidii nichelewe,

Namsubiri Kinana aongee
 
Kinana anapinga baraza dogo la mawaziri, huyu jamaa vipi?
 
wadau dr slaa na kinana live star tv, Kinana yuko studio ya dar , slaa yuko ya mwaza, si mbaya wadau mkafatilia, coz slaa anaongelea kuhusu baraza lake la mawaziri
 
Kinana anasema slaa anafananisha tz na USA, kuwa na mawaziri wachache
 
Dah! wakuu nimeanza kuicapture hii kumbe disc yangu imejaa! ooh lalaaah, nimemiss kitu cha muhimu sana, ningewawekea youtube wadau walio mbali!:mmph:
 
Lakini kinana anakubali kwamba Dr Slaa ameleta maendeleo Karatu, lakini anakubaliana nae kuwa kulendesha ni gharama, lakini anasema kuwa na mawaziri 30 si tatizo sana
 
Da leo wamewakutanisha kiaina bila kujijua wanafanya mdahalo flan
 
mkuu tupe zaidi!! mistari zaidi mkuu tulio mbali tunapata hisia.
 
Slaa amejipanga kuitumikia nchi jamani, u can see the way anavyoongea, mpeni kura huyu mkombozi watanzania
 
jamni wengine tupo ofisini rekodini mtutumi video yake,pls jamani tumemiss kweli
 
Back
Top Bottom