SahihiChama changu kisirudie makosa ya kumkaribisha fisadi lowassa 2015 kisha kumteua kama mgombea wa Urais. Kama Membe na Kinana wanataka kuhamia Chadema na uongozi wa Chadema unaridhia basi waruhusiwe lakini HAWASTAHILI kuteuliwa kugombea nafasi yoyote ile katika Uchaguzi wa 2020.
Fool me once shame on you, fool me twice shame on me.
Ni intelihensia kali ya Chadema. Ccm wana hamu kujua mgombe ni nani kuliko hata sisi wa jikoni??Napenda jinsi unpredictability ya CHADEMA inavonyima watu usingizi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mnataka aje mummalizie?Kwa hiyo Lisu alie tu huko ubelgiji? Ha ha ha.
Keshajimaliza mwenyewe, amalizwe mara ngapi?Sasa mnataka aje mummalizie?
Kama ni kweli basi inaonyesha Vyombo vyetu Vya usalama na serikali ni dhaifu sana.Baada ya kupiga billion 8 za wabunge, sasa hivi Mbowe kumbe yuko bize kuuza chama kwa Membe na Kinana?
Ni laana kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh . . . . another mistake in the making. Sasa hivi hatutaki kuchezewa. Tumechoka siasa zenu za kijinga na zisizo na msimamo. Leo wapinzani wakubwa kesho mnakaribisha maccm wagombee upuuzi tu.Tetesi kitaa zinasema, wale maswahiba wakubwa wa JK enzi zake, Abdulrahman Kinana a.k.a. Mzee wa Tembo, na Bernard Membe a.k.a Jasusi, wanaungana nguvu kuchapisha tiketi yao ya kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020.
Ila ile CHADEMA ya Dr Slaa na Zitto ilikuwa vizuri kwa kweliUpinzani mkubwa ulikuepo wakati vyama vilipokua na kina Dr slaa, Mrema, Lipumba, Seif na Hamad. Sioni chama kinachoweza kuinyima usingizi CCM kwa sasa. Zama hizi siasa za kupingana sio kazi tenatena tutafute kazi nyingine za kufanya
Achilia mbali kufungamana na chama chochote membe simwelewi kwakweliTetesi kitaa zinasema, wale maswahiba wakubwa wa JK enzi zake, Abdulrahman Kinana a.k.a. Mzee wa Tembo, na Bernard Membe a.k.a Jasusi, wanaungana nguvu kuchapisha tiketi yao ya kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020.
Msidhani msigwa kakurupuka kuanza kumsafisha Kinana. Chadema wamejifunza toka 2015 ilipowalazimu kutumia kila jukwaa kumsafisha Lowassa badala ya kuuza sera na kumchafua Magu. Mwaka huu, wanajipanga usafi uishe kabla ya kampeni kuanza ili kampeni zikianza, Nyumbu wawe wamemsahau Kinana kama mbaya wa Tembo.
2020 Kutanoga tuu.
NCCR kazi kwenu.
Chadema imeshajifunza kupitia upuuzi uliofanywa na Mbowe mwaka 2015 wa kumkumbatia na kumsafisha mtu waliyemuita fisadi.Tetesi kitaa zinasema, wale maswahiba wakubwa wa JK enzi zake, Abdulrahman Kinana a.k.a. Mzee wa Tembo, na Bernard Membe a.k.a Jasusi, wanaungana nguvu kuchapisha tiketi yao ya kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020.
Msidhani msigwa kakurupuka kuanza kumsafisha Kinana. Chadema wamejifunza toka 2015 ilipowalazimu kutumia kila jukwaa kumsafisha Lowassa badala ya kuuza sera na kumchafua Magu. Mwaka huu, wanajipanga usafi uishe kabla ya kampeni kuanza ili kampeni zikianza, Nyumbu wawe wamemsahau Kinana kama mbaya wa Tembo.
2020 Kutanoga tuu.
NCCR kazi kwenu.
Ccm haiwezi kushindwa uchaguzi, labda ikose support ya vyombo vya ulinzi.Hapo inategemea kama watafanikiwa kutoboa 2020 au itakuwaje. Wasipotoboa, na NCCR ikawa kubwa kuliko Chadema bungeni, 2022 watarudi tu bila shida. Lakini wakipeta, CCM wajiandae kuhama nchi [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe umeleta jambo jema lakini ukashindwa kulieleza vizuri, au ulilielewa kivingine kabisa.Tetesi kitaa zinasema, wale maswahiba wakubwa wa JK enzi zake, Abdulrahman Kinana a.k.a. Mzee wa Tembo, na Bernard Membe a.k.a Jasusi, wanaungana nguvu kuchapisha tiketi yao ya kupeperusha bendera ya CHADEMA 2020.
Msidhani msigwa kakurupuka kuanza kumsafisha Kinana. Chadema wamejifunza toka 2015 ilipowalazimu kutumia kila jukwaa kumsafisha Lowassa badala ya kuuza sera na kumchafua Magu. Mwaka huu, wanajipanga usafi uishe kabla ya kampeni kuanza ili kampeni zikianza, Nyumbu wawe wamemsahau Kinana kama mbaya wa Tembo.
2020 Kutanoga tuu.
NCCR kazi kwenu.
Safari hii, kama sio mazingaombwe yanayofanyika, huenda wakatia maajabu maanake inaonekana hawatabiriki- na hili ni jambo jema kwao; kwa sababu hasimu yao mkuu naye amejawa wasiwasi tupu. Angalia tu hata humu JF wanavyohangaika!Napenda jinsi unpredictability ya CHADEMA inavonyima watu usingizi!
Sent using Jamii Forums mobile app