Weka clip tuisikilize, acheni kumlisha manenoMakamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani...
Mjinga aliyesemaMakamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani.
Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao.
Jiwe hili limerushwa.
Yeye mwenyewe ndiye mwasisi wa hayo Mambo kuna kipindi enzi za Jk alizinguka Tanganyika mzima kutangaza mawaziri mzigo na kuwavua magamba, mpaka Lostamu aliamua kuachia ubunge,kwa kuita ameachana na Siasa uchwala.mbona Yeye hakwenda kwenye vikao vya chama kuzungunzia huko alikuja hadhalani?Taifa ili kupata maendeleo ya kweli itakuwa ndoto, mpaka hakina kinana wafe maana wanamizizi yao inaitajika kizazi kingine kuingoa, Sio kizazi hiki cha machawa.Kinana mwenyewe Sio msafi analindwa na mfumo mibovu ya nchi tungelikuwa kama China tulikwisha msahau.Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani.
Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao.
Jiwe hili limerushwa.
Hivi yule kijana wackuwadhalilisha wakubwa mjukwaani Nchi nzima Yuko wap.
Kimya kimezidi. Kimemsibi nini
Nape akitukana raia hadharani ni fair!?Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara ndugu Abdulrahaman Kinana amekemea baadhi ya viongozi wa CCM wanaowadhalilisha viongozi na watendaji wa serikali hadharani.
Kinana amesema badala yake wanatakiwa kutumia vikao halali vya chama kufikisha ujumbe wao.
Jiwe hili limerushwa.