Ally ayubu
Senior Member
- Jan 6, 2024
- 188
- 104
Hii nchii ngumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee sema kweliKINANA: MKITUMIA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI MTAPATA VIONGOZI WABOVU
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amesema uongozi unaopatikana kwa njia ya rushwa ni uongozi mbaya na viongozi hao hawawezi kuwajibika katika kuwatumikia Wananchi.
Amesema hayo wakati akihutubia Wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Azimio Mpanda Mjini mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 13, 2024 ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku Nne Mkoani Katavi.
KINANA: RUSHWA NI ADUI WA HAKI, DINI ZOTE ZINAKATAZA NA CHAMA CHETU KINAKATAZA
Abdulrahman Kinana ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amewataka Watanzania kujiepusha na bidhaa inayoitwa Rushwa kwa kuwa ikiendelezwa inaharibu maadili na kusisitiza kuwa Dini zote, Serikali zote pamoja na chama chake wote wanapinga uwepo wa Rushwa.
Hawa wanatutania hawaKINANA: MKITUMIA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI MTAPATA VIONGOZI WABOVU
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amesema uongozi unaopatikana kwa njia ya rushwa ni uongozi mbaya na viongozi hao hawawezi kuwajibika katika kuwatumikia Wananchi.
Amesema hayo wakati akihutubia Wananchi kwenye mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Azimio Mpanda Mjini mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Julai 13, 2024 ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya siku Nne Mkoani Katavi.
KINANA: RUSHWA NI ADUI WA HAKI, DINI ZOTE ZINAKATAZA NA CHAMA CHETU KINAKATAZA
Abdulrahman Kinana ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amewataka Watanzania kujiepusha na bidhaa inayoitwa Rushwa kwa kuwa ikiendelezwa inaharibu maadili na kusisitiza kuwa Dini zote, Serikali zote pamoja na chama chake wote wanapinga uwepo wa Rushwa.
Kada mwenzakoAmetisha sana 😂😂
CCM tulishaikataa kitamboKama rushwa ikitumika kiongozi anayepatikana ni mbovu. Tukatae rushwa na tukatae chama kinachotumia rushwa
Mfumo wa CCM bila rushwa huweziKama rushwa ikitumika kiongozi anayepatikana ni mbovu. Tukatae rushwa na tukatae chama kinachotumia rushwa
Dini zote zinakataza Rushwa ni kweli! Tatizo CCM na viongozi wake hawana dini, kwahiyo Rushwa haikatazwiNi kweli dini zote zinakataza. Ila CCM inaitukuza rushwa na kuipalilia ili istawi zaidi, ndiyo maana kila mwananchi mwema anaiona CCM ni kama wakala wa shetani.
Kusema tu ni jambo moja ila utekelezaji kivitendo ndiyo ngondoigwa.Kwani ni lini ameanza kusema uongo?KINANA: MKITUMIA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI MTAPATA VIONGOZI WABOVU