Pre GE2025 Kinana: Rushwa ni adui wa haki, Dini zote zinakataza na chama chetu kinakataza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Weee sema kweli
 
Hawa wanatutania hawa
 
Wanasema nini akizeeka anakuwa mchawi? Huyu mzee hata haya wala aibu hana. Hawa ndiyo kati ya wenye kundi, la kutufikisha hapa tulipo, akae kimya.
 
Unafiki wa huyu baba, hata Shetani anachukua daftari akopi notes. Khaaaah
 
Kama rushwa ikitumika kiongozi anayepatikana ni mbovu. Tukatae rushwa na tukatae chama kinachotumia rushwa
 
Ni kweli dini zote zinakataza. Ila CCM inaitukuza rushwa na kuipalilia ili istawi zaidi, ndiyo maana kila mwananchi mwema anaiona CCM ni kama wakala wa shetani.
 
Ni kweli dini zote zinakataza. Ila CCM inaitukuza rushwa na kuipalilia ili istawi zaidi, ndiyo maana kila mwananchi mwema anaiona CCM ni kama wakala wa shetani.
Dini zote zinakataza Rushwa ni kweli! Tatizo CCM na viongozi wake hawana dini, kwahiyo Rushwa haikatazwi
 
Kusema tu ni jambo moja ila utekelezaji kivitendo ndiyo ngondoigwa.Kwani ni lini ameanza kusema uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…