Anaposema serikali tatu si sawa ipi sawa. Kuhusu pale anaposema itavuruga umoja wa kitaifa ya sasa haivurugi umoja huo. Si sawa wabunge kutoka zanzibar kuhudhuria vikao vya bunge ambavyo havihusiani na wizara za Muungano ambazo ni wizara ya fedha,wizara ya ulinzi,wizara ya mambo ya ndani,ofisi ya makamu wa raisi muungano na wizara ya Africa mashariki